Prof Lipumba's presentation in Washington on 50 years of Tanzania Independance

Ngoja niisikilize ila kumbuka nabii hakubaliki kwao

Kwakweli namsikiliza jamaa na kujiuliza tunatafuta wataalam nje kuja kutushauri wakati tuna wataalam wazalendo!!! This guy is pretty good anafaa kuwa economic adviser na sio Elsie.
 
Ukiachana na mambo ya Cuf na mwanae, huyu jamaa ni balaaa! Sijua amefuata nini kwenye siasa. Kwenda kwenye siasa naona ameingia choo cha kike.
 
watakuwa wamependelea kwa nini wamemuita yeye, mbona kuna ma-prof ndani ya magamba's kibao tu - hawa wazungu ni wapinzani nini?
:lol:

hata mkimsifia sisi kwenye box la kura kila msimu tunampokonya zote hadi za kule ilolanguru kwao.
 
Ukiachana na mambo ya Cuf na mwanae, huyu jamaa ni balaaa! Sijua amefuata nini kwenye siasa. Kwenda kwenye siasa naona ameingia choo cha kike.


Mkuu CPA nakuunga mkono kabisa aisee,jamaa angeachana na siasa uchwara(Cheap politics) za Tanzania akaendelea na research na projects mbalimbali za kutukwamua kiuchumi wa Tanzania!Ona sasa uelekeo wa chama chake yaani upo tofauti kabisa na tittle yake kimataifa na kitaifa!!
 
He is an international figure, problem ni kwamba amefeli kutengeneza system nzuri ya income ktk chama chake, Upeo wake ktk Uchumi ni Mkubwa mno na niliona hapa hapa JF president Kagame amemtangaza kama Representative wa mambo ya uchumi wa EA huko duniani but bongo kwa siasa zetu hizi kapuni siku nyiiingi. Inasikitisha but keep it up Profesor Ibrahim Haruna Lipumba.
 
Inasikitisha sana aisee, bora arudi UDSM pale vijana wanahitaji sana mchango wake.
 
Mbona ni wa kawaida sana...

NN nakubaliana na wewe kuwa huyu jama ni wa kawaida sana tu; hawa jamaa wamesoma shule za vidatu wanamuona wa juu sana hata Ndullu walimuona juu lakini angalia madudu anayofanya BOT!!Na huyu huyu Lipumba ndio alimpeleka Ndullu kwa mkweree!!
 
..akifanya kazi na CCM lazima atachafuka.

..Dr.Balali was more accomplished kuliko Prof.Lipumba lakini angalia alipoishia.

..Dr.Ndulu naye alikuwa anaheshimika sana lakini angalia madudu anayoyafanya sasa hivi.
 
Back
Top Bottom