Mgombea Chadema kujulikana leo, Nani kama Joshua Nassari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea Chadema kujulikana leo, Nani kama Joshua Nassari?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by OKW BOBAN SUNZU, Feb 29, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,715
  Likes Received: 17,763
  Trophy Points: 280
  MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chadema, anatarajiwa kujulikana leo, mara baada ya kumalizika zoezi la kupigiwa kura kwa wagombea saba ambao wamejitokeza kuchukua fomu.Katibu wa Chadema wilaya ya Arumeru, Totinan Ndonde, anasema wajumbe 1,100 wa jimbo hilo watashiriki kwenye mkutano mkuu maalum wa kuchagua mgombea.
  Aliwataja wagombea ambao watachuana kuwa ni Joshua Nasari ambaye pia alishiriki uchaguzi uliopita, Anna Mughwira,Rebeca Mungwishi, Samweli Shamim na Godlove Tema.

  Wengine ni Yohane Kimuto na aliyekuwa mgombea wa CCM na kumbwagwa katika kura za maoni ndani ya chama hicho, Mwalimu Anthony Musari.
  Namba wagombea ni nzuri kudumisha ile dhana ya chama cha demokrasia, lakini cjaona kama Nasari, ndiye pekee mwenye ubavu wa kupambana na magamba. CHADEMA wapeni raha wameru, Mungu mbariki Nasari, Mungu ibariki CDM, Mung ibariki Tanganyika,
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  sosa si tifanyeje
   
 3. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,715
  Likes Received: 17,763
  Trophy Points: 280
  mkubwa mzima hujui cha kufanya?subiri tukufanyie taratibu
   
 4. D

  Donl Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ashatangazwa kamanda nasari
   
 5. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,715
  Likes Received: 17,763
  Trophy Points: 280
  weeeweeeee, usinitanie... mi nimekalia kusikiliza mpira wa Stars hapa kumbe mwokozi wetu kesha rasimishwa, daa poa sana Donl
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Nasari juuuuuuuuuuuuuuuuu!
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba wakilisikia jina la mpambanaji Nassari huwa BP inapanda.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Atawatia aibu tu April 01.... yetu masikio kwa tuliombali.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...