JK aalika wadau kuwasilisha majina ya watu watakaokuwemo kwenye mchakato wa katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aalika wadau kuwasilisha majina ya watu watakaokuwemo kwenye mchakato wa katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Saint Ivuga, Mar 1, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,414
  Likes Received: 19,717
  Trophy Points: 280
  Ni watu watakaokuwemo kwenye tume ya kuratibu na kukusanya maoni kuhusu katiba mpya.ni watu 15 kutona bara na 15 kutoka viviwani.mwisho ni march 16,2012 baada ya hapo rais atakaa na rais wa zanzibar kuteua majian ya hao watu na mwenyekiti atakaye simamia huo mchakato...
  source:hapa
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mi napendekeza awepo Dr. Slaa.
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280

  Rubbish!!!! Huwezi ukawa na equal representation kati ya watu milioni 44 na watu milioni moja. Ndiyo haya matatizo ya muungano ambayo hawataki kuyaweka wazi yakapata ufumbuzi wa kweli. Even common sense / natural justice (if you like) dictates proportional representation
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hapo ndiyo wanapokosea, anyway labda kuna siri nzito nyuma ambayo inajulikana kwenye maslahi ya nchi ya kuwapa Zanzibar uwakilishi sawa na Tanganyika. Ngoja tuendelee kuona wanapotupeleka hawa wazee wetu!!
   
Loading...