Vijana CHADEMA kupigwa msasa Ujerumani

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Haya tena vijana wa CDM nafasi ndizo hizo nendeni mkapate shule Ujerumani na sio kwenda kujirusha,kwani hii nchi inawahitaji sana vijana wasomi wenye upeo wa kuona mbali na sio kuona mwisho wa vidole vya miguu yako.

Chama cha Christian Democratic Union of Germany(CDU) kimeamuwa kuwapa nafasi hiyo kwa lengo jema tu la nyie kuweza kuongeza elimu ya siasa kwa faida ya chama chenu na Taifa kwa ujumla

kila la heri vijana wa CHADEMA na safari ya Ujerumani
 
Kikao cha juzi kilichofanyika Mount Meru Hotel Arusha, ndiyo kilifikia azimio la chama cha CDU kuisaidia CHADEMA kutoa elimu ya siasa kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA, ili nao wawaelimishe wanachama wengine hiyo elimu. In general kilichozungumziwa ni political strategies.
 
Utaratibu ukoje? Ebu tujuze vizuri jinsi taratibu za kupata hizo scholarship zilivyo. Nataka tujipange ....
 
Kikao cha juzi kilichofanyika Mount Meru Hotel Arusha, ndiyo kilifikia azimio la chama cha CDU kuisaidia CHADEMA kutoa elimu ya siasa kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA, ili nao wawaelimishe wanachama wengine hiyo elimu. In general kilichozungumziwa ni political strategies.

Utaratibu wa kupata nafasi hiyo ukoje? ni vizuri tufahamishane ili tuhamasishe vijana wenye sifa na moyo wa kuitumikia chadema waweze kuomba.
 
Utaratibu hukoje? Ebu tujuze vizuri jinsi taratibu za kupata hizo scholarship zilivyo. Nataka tujipange ....

nami nimepata taarifa sijui kinachoendelea jinsi ya kupata nafasi hiyo,Nadhani Mr Mungi anaweza kutupa vionjo

kama wapo wahusika wengine watatupa mwelekeo na jinsi ya kupata nafasi hizo,ila mwanzo ni mzuri
 
Nimesikia asubuhi kupitia gazeti la Nipashe.

Hata hivyo ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche ataondoka Jumatano (22/06/2011) kuelekea Ujerumani kwa mafunzo ya siku 10. Ataongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chadema toka Zanzibar Hamad , pamoja na Sabrina Sungura (Mbunge wa Viti Maalum kutoka Kigoma) na Mwenyekiti wa Chadema (W) Njombe Faki Lulandala.

Sina hakika kama kuna connection na kilichojadiliwa Mount Meru Hotel
 
mbowe na baba mkwe wanajua watu wa kuwapeleka ili kuendeleza vizuri taasisi ya familia.

wewe mutu wa mtwara ulie tu!
 
Mwendawazimu wewe hebu soma post namba 8 hapo juu
ndio ukweli huo. hizo nafasi zimetangazwa lini.

mbowe na baba mkwe wameamua nani anawakilisha maslahi yao zaidi.

uwazi wangetangaza vijana wote wapiganie. endeleeni kuota taasisi hiyo ina wenyewe.
 
Kikao cha juzi kilichofanyika Mount Meru Hotel Arusha, ndiyo kilifikia azimio la chama cha CDU kuisaidia CHADEMA kutoa elimu ya siasa kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA, ili nao wawaelimishe wanachama wengine hiyo elimu. In general kilichozungumziwa ni political strategies.
Wangekuwa jamaa wa Magamba wangeomba hela au vyandarua, kama walivyomuomba Bush mwaka ule. Chama makini kimeomba elimu na maujuzi ambayo ndio chachu ya Maendeleo. Hongera CDM kwa kuonyesha njia
 
mbowe na baba mkwe wanajua watu wa kuwapeleka ili kuendeleza vizuri taasisi ya familia.

wewe mutu wa mtwara ulie tu!

Acha ku-boil mkuu hebu angalia hiyo list kama kuna wanafamilia wangapi. use your common sense!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Chama cha Kikiristo cha Ujerumani (CDU) rafiki mkubwa wa Chadema. Wenye akili timamu watajua kitu gani kinaendelea
 
Haya tena vijana wa CDM nafasi ndizo hizo nendeni mkapate shule Ujerumani na sio kwenda kujirusha,kwani hii nchi inawahitaji sana vijana wasomi wenye upeo wa kuona mbali na sio kuona mwisho wa vidole vya miguu yako.

Chama cha Christian Democratic Union of Germany(CDU) kimeamuwa kuwapa nafasi hiyo kwa lengo jema tu la nyie kuweza kuongeza elimu ya siasa kwa faida ya chama chenu na Taifa kwa ujumla

kila la heri vijana wa CHADEMA na safari ya Ujerumani

what Coincidence!! wasisahau kusoma historia ya Adolf maana sera zao zina fanana, audui wa Adolf walikua matajiri wa ki-jewish na CDM maadui wao hapa Bongoland ni Mafisadi!. Magwanda tayari yaanafana kasoro ile alama fulani!
Herrrrr Adolf!!!!!!.
 
The CDU is Christian-based, applying the principles of Christian democracy, and emphasizes the "Christian understanding of humans and their responsibility toward God", though people adhering to any religion as well as non-religious people are allowed to be members of the CDU. The CDU's policies derive from Political Catholicism, Catholic social teaching and political Protestantism, as well as fiscal conservatism and national conservatism.

nilijua lazima hili litatokea na wa kwanza kulitoa ni MS.
 
ndio ukweli huo. hizo nafasi zimetangazwa lini.

mbowe na baba mkwe wameamua nani anawakilisha maslahi yao zaidi.

uwazi wangetangaza vijana wote wapiganie. endeleeni kuota taasisi hiyo ina wenyewe.
Hivi huoni kama hayo majina yanaendana na nyadhifa? Nani Ndugu wa Mbowe au Slaa hapo? Kila siku nasema na leo narudia tena kuwa CCM lazima uwe mwendawazimu na akili zako uweke kwapani kwanza. Kwa kuwa nafasi hizo zimetolewa pia kwa CCM nitawaletea hapa list ya vijana wa CCM muone watakavyobebana.
 
mbowe na baba mkwe wanajua watu wa kuwapeleka ili kuendeleza vizuri taasisi ya familia.

wewe mutu wa mtwara ulie tu!

Kula na kulala wewe utajua kitu ?Endelea kutumia akili za kifisaidi kuwaza .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom