Peoples power yazizima iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peoples power yazizima iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nsaji Mpoki, Feb 29, 2012.

 1. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa mara nyingine bendera za chadema zimeshushwa iringa mjini wakati wa ziara ya makamu na kusababisha vijana kushangilia kwa nguvu wakati mbunge wao aliposimama mbele ya makamu kupinga jambo hilo. Kama si busara za mh. Msigwa mkutano ungeharibika.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  The same to Tunduma jamaa waliitoa bendera ya CDM pakawa hapatoshi ikabidi Kandoro awaambie askari wairudishe ndo pakawa shwari na Bilali kuhutumia ingawa zomea zomea ilkuwepo ya apa na pale.
   
 3. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Busara hiyo hatma yake bendera zilirudishwa au? HALAFU AMANI YA NCHI ITATOWEKA KWA VITENDO VYA SERIKALI KUTEREMSHA BENDERA HIZO.NGOJA WATEREMSHE PALE KWA T.LISU! Hivi Dr Slaa akienda mahali na kushusha bendera za chichiem patatosha?MIPOLISI MINGINE MIVI TU?
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  tunaomba foto basi mkuu
   
 5. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ...MAONI YANGU LAKINI:
  Vyombo vya serikali pamoja na taasisi mbalimbali vinaisaidia SERIKALI ILIYPO kupata sababu ya kuviadhibu vyama vingine. mfano tu; endapo bendera ya chama kisichotawala itashushwa; wananchi wakalalamika hadi kutokea ghasia; vombo vya ulinzi na USALAMA vitaingilia kati kwa nguvu kupita kiasi (tumeona sehemu ningi ikitokea na hivi karibuni kule Songea). Hali ambayo itasababisha machafuko. Hapo chama kinachotawala na serikali yake italalamika kwa MLEZI wa vyama na kumshauri hata kumshinikiza atoe adhabu kali kwa chama husika......HIZO NI MBINU CHAFU..KWANINI INARUDIA RUDIA? NA WAHUSIKA HAWAJIREKEBISHI? KUNA JAMBO HAPO NALIONA HUKOOOO!! ninarudia ni maono yangu tu!!
   
 6. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ubafiki huu wa viongozi wa waserikali na ulinzi na usala utatupeleka kubaya siku moja
   
 7. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,885
  Trophy Points: 280
  na bado tutawavua mpaka magunya ya njano wabaki na matambi wazi, waacheni wananchi na chama chao cha CDM
   
 8. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Bizness as usual, magamba @ work
   
 9. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  snap zitaongeza ladha mkuu!
   
 10. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  umbea si mzuri sa mnatoa bendera il uonekana mji wa kigamba wkt n wa kimapinduzi.
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahahaha CCM imekula kwao, nadhani wanatapatapa sasa
   
Loading...