Vazi la taifa mchakato ufe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vazi la taifa mchakato ufe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamonga, Feb 29, 2012.

 1. kamonga

  kamonga Senior Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimemuona leo Baba rizi Kavaa nguo safi kabisa yenye utaifa ndani yake. nikawaza kua sasa mchakato wa nini tena kutafuta vazi la taifa wakati lipo hilo lake?? As much as its a waste of time and taxpayers money. tuachane na huu machakatano tulisimike vazi lake liwe la taifa ( not that i am going to wear it anyways:hatari:, but for the sake of michakato kibao lets make this one the ONE. na wanawake kama aliemabatananae pichani. ......mwaonaje wadau??
  Mwenye kuweza kuattach picha anaweza nisaidia. pia picha hizi zipo kwa michuzi blog.:A S 39::A S 39::A S 39:
  http://2.bp.blogspot.com/-ydLYAIDk5LI/T04Pc_aZDGI/AAAAAAACHEQ/tlGWCPK8-vg/s1600/nd25.jpg
  http://4.bp.blogspot.com/-jrSQJSpWhRA/T04PXpvRlSI/AAAAAAACHEA/itR18jPsU3o/s1600/n34.jpg
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Angalieni msije mkakopy na akili zake, mtatengeneza mwanaasha wengi sana, ole wenu mtengeneze riz hata wawili tu, mpaka wawe mabilionea wote, nyinyi mtakua masentitanoonea!!!!!!!
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
 4. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Vazi la taifa ni utamaduni, utamduni hauna mchakato wala kupigiwa kura. Nani alipiga kura waarabu wavae kanzu? Nani alipigia kura au mchakato gani ulipitisha mavazi ya Africa magharibi? Vazi linategemea utamaduni na utamaduni unaendana na hali ya kijiografia.
  Kwa maoni yangu ni vigumu sana kupata vazi la taifa hapa Tanzania.
   
 5. kamonga

  kamonga Senior Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndo maana tunaomba mchezo wa kamati ufe tulitambue hili la kwake basi. hela tusiendeleza kutupa ktk kamati.:nerd:
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Vazi la taifa ni technic ya kuvuta mafungu ya uchaguzi wa 2015! Safarihi hii CCM tunapumua kisogoni!
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Duh kweli, hivi huyo wa kike ndio Mwanashaa?

  [​IMG][​IMG]
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kapendeza. :)
   
Loading...