Renatus Mkinga alazwa Muhimbili

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
mkinga.JPG

Nimepokea taarifa kuwa Comrade Renatus Mkingah, a.k.a Mkinga Mkinga

Mwanaharakati machachari na hodari, msemaji asiyeogopa, mtunza ushahidi asiyebabaika

Amelazwa Hosipitalini Muhimbili - kibasila 1st Floor Wodi namba 11 kitanda namba 25.

Kidole gumba kimeoza kwa sababu ya diabetes [kisukari] kwa hiyo kinatakiwa kuwa amputated[kukatwa]
Anahitaji msaada wa hali, mali na sala.

Tafaadhalini wana JF tumsaidie. Tunaoweza tumtembelee.

Namba yake ni 0642644946 - waweza kumpigia ukimfariji au ukatumbukiza kitu kwenye hiyo tigo Pesa.
 
Mhhhh, sijui kama kelele za Richmond na Dowans hazihusiki hapo, maana hawa jamaa sumu zao zinasomeka kama magonjwa ya kawaida yenye maelezo ya kidaktari ili kuficha uharamia wao.
 
Mhhhh, sijui kama kelele za Richmond na Dowans hazihusiki hapo, maana hawa jamaa sumu zao zinasomeka kama magonjwa ya kawaida yenye maelezo ya kidaktari ili kuficha uharamia wao.

Mawazo na fikra potofu....hatuwezi kufika mahali tukakubali kuwa binadamu yeyote leo atakuwa mzima na kesho akaumwa na yote ni mapenzi ya Mungu?
 
Mhhhh, sijui kama kelele za Richmond na Dowans hazihusiki hapo, maana hawa jamaa sumu zao zinasomeka kama magonjwa ya kawaida yenye maelezo ya kidaktari ili kuficha uharamia wao.

Sumu kwenye uboho sasa sumu kwenye kidole gumba!! Duh basi hii sumu kali. Ukipanua tu kinywa chako na kutamka neno Dowans ama Richmond basi sumu inaingia automatically! Tutaisha wengi sasa.

Mkuu Mkinga iwe ni kisukari kweli na upate nafuu ya haraka.
 
Pole kamanda mkinga ugua pole na mungu akuponye uludi haraka katika harakati za kumkomboa mtanzania duni
 
Mhhhh, sijui kama kelele za Richmond na Dowans hazihusiki hapo, maana hawa jamaa sumu zao zinasomeka kama magonjwa ya kawaida yenye maelezo ya kidaktari ili kuficha uharamia wao.
Ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu

hauhitaji kumtafuta mchawi zaidi muombee au mchangie gharama za matibabu

maana hawezi kwenda India kule kuna hospitali za MAFISADI (WANASIASA) peke yake.
 
Pole sana Kamanda Renatus Mkinga; Mwenyezi Mungu akujalie upone haraka na uendeleze mapambano dhidi ya mafisadi!
ALUTA CONTINUA!
 
Mkinga, Mungu akulinde na akuponye na maradhi yanayokukabili hapo ulipo kumbuka kuwa mchango wako mimi kama mtanzania ninauthamini sana na hasa wa kuweza ku DARE TO STAND UP AND SPEAK TRUTH TO THE POWER.

I wish you fast recovery.
 
Back
Top Bottom