Serikali ime fulia kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ime fulia kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Feb 29, 2012.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kwamba serikali ime fulia au hela zinaliwa na wachache?
  Mbona hatuja sikia JK akiahirisha safari kwa kuwa hakuna hela?

  UDSM kuna tangazo kuubwa kwamba hela za mkopo kwa wanafunzi hazija
  patikana,...na jana DUCE wametoa tangazo kwamba mishahara kushney......
  tutafika?

  [​IMG]
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,736
  Trophy Points: 280
  zimekwisha za maendeleo za safari bado zipo
   
 3. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  very sad.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Shameful.
   
 5. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  kaaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kweli kweli.

  Kwani hamna habari kuwa Tanzania imetangazwa kuwa imo katika BLACKLIST???

  Huu ni mwanzo tu, yaani moshi ndio kwanza unatoka. Subirini moto uonekane ndipo sisi bado tupo katika nchi yenye Amani na Utulivu kwa nidhamu za uwoga.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 6. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  TANZANIA NI TAJIRI SANA, ACHENI UONGO. SEMA TU HELA ZINAINGIA MIFUKONI MWA WATU BINAFSI au shimo gani? kuna panya humo?

  example, Ngorongoro inaingiza zaidi ya billion 15 kwa mwaka.

  -magari ya tours yanayoingia crater
  -magari ya tours yanayopita
  -watalii wenyewe crater
  -watalii wanaopita
  -magari ya mizigo yanayopita
  -madreva na utingo
  -campsites
  -lodges


  Mh, acha National park zote - example kilimanjaro, serengeti,

  acha selous

  Acha Tanzanite

  acha KIA

  Acha Gold

  Acha gas

  And more..... ongezeeni hapa.

  Halafu mtu aje aseme hapa eti Tanzania ni masikini, eti serikali imefulia -- NO!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mbona sababu ya kuchelewa imetolewa? cha kujiuliza tena hapo ni nini? yaani kuchelewa kwa hundi toka wizara ya fedha ndiyo kumaanisha kwamba serikali imefulia?
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Serikali bado inalipa madeni ya uchaguzi wa 2010. Pamoja na makusanyo ya kodi kuwa makubwa, lakini bado serikali inazidi kupumlia mashine kutokana na ukweli kuwa matumizi yasiyo ya lazima hayaachwi. Tatizo kubwa ni kundi lile lile la hao wazee wetu, ndiyo linajipanga kututawala tena kwa miaka mingine 5 ~ 10 baada ya 2015.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu huoni tatizo?
   
 10. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kweli sababu imetolewa lakini kwanini hazina walichelewa kutoa cheque, serikali haina pesa.
   
 11. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hostility measures coming soon. Wafanyakazi wote serikalini kupunguzwa mishahara 20%, wafanyakazi serkalini kupunguzwa 25%. Wanafunzi vyuo vikuu hakuna mikopo.
  KIDUMU CHAMA CHA MAJAMBAZI!!!!!! Mtaipona mpaka 2015
   
 12. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Shii...we acha matusi hayo. Hicho chama ni Tendwa alikisajiri?

   
 13. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Malipo yanayozidi 10 million yanalipwa kwa mfumo wa TISS....hili Tangazo halina ukweli
   
 14. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wabariki... viongozi,, wake........... hahahaha!!!!
   
 15. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  washenz sana ccm
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kuchelewa siku tano tu ktk mambo ya uhasibu ni kawaida labda kama tumeamua kuchanya uhasibu na siasa ndani yake
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kuomba radhi na kufulia havijawahi kuishi chumba kimoja kama tatizo lingekuwa kubwa hapakuwa na sababu ya kukimbilia kuomba radhi kwa tangazo la wazi
   
 18. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  na bado na bado ooho oho hìoo
  Na bado na bado pwiku pwiku pwiku.
   
 19. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Najua kuna watu wengine watashangaa kama wakisikia kuwa nchi ya Tanzania imewekwa kwenye Ebay. Teh..teh..teh..
   
Loading...