Makamanda wa cdm wakiongozwa na Habibu Mchange, Rajabu, Mwampamba wanazunguka kata zote za jimbo la kibaha vjijin kufungua matawi na leo wapo mpiji kote wanakozunguka wanavuna wanachama weng...
Haya ni maoni yetu ambayo haiyumkini yana mashiko.wameru ni watata,hawamtaki mtu mtata KAMA PAUL CHAGONJA.ukitaka kuzima moto zima na maji si moto.mytake Tunakuomba umpe madaraka Basilio Matei ktk...
KATIKA maandiko mengi ya magazeti, katika makala za redio na televisheni, katika matamko lukuki yanayotolewa katika mikutano ya hadhara na soga za vijiweni, kila mahali nimekuwa nikisikia ujumbe...
Nimevutiwa na habari kuu ya leo katika gazeti la Daily Monitor la Uganda, pamoja na mambo mengine najiuliza ile issue ya meremeta ilihusu JWTZ na sasa Jina la Luiteni Jenerali Silas Mayunga...
WANASIASA na viongozi wa kuchaguliwa wameshauriwa kuwa na mahusiano mazuri na Mungu ili awape mvuto wa kukubalika mbele za watu na kutimiza malengo ya waliowachagua.
Mwito huo umetolewa na...
Uchaguzi mdogo wa kata ya vijibweni unaanza rasmi wiki ijayo ( Baada ya Diwani wa CUF kufariki). Kwa mujibu wa taratibu zetu tulipaswa kufanya utafiti ili kujua mtaji wetu na maeneo yanayohitaji...
Haya ni kwa mujibu wa Gazeti la mwananchi leo Jumapili. Kwa uchache:
(a) PCCB bado yawaandama watoa rushwa kambi ya Sioi
(b) Chadema huenda wakatumia helikopta katika kampeni
(c) Kundi la...
Wana JF leo nilikuwa katika mmoja ya Mikutano nchini Canada. Katika kujadili masuala ya husuyo Tanzania na bila kufahamu kama walikuwemo wa-TZ ndani ya Mkutano ule uliokuwa unazungumzia Utalii...
KUtoka mwananchi:
Nilipokuwa huko nilipima afya yangu na hasa akili na mishipa ya damu na wataalamu wakaniambia nipo salama. Ninatarajia kupumzika baada ya mwaka mpya - Kikwete
NImechukizwa na...
Ni mara nyingi tumeshuhudia wasanii mbalimbali nchini,wakitumika kwenye uhamasishaji
majukwaani kama njia mojawapo ya kuwavutia wapiga kura katika mikutano ya kampeni, hii imekuwa ni mtindo wa...
Baada ya vyama hivi vikubwa kupitisha majina ya wagombea wao, macho na masikio ya wananchi yapo kati ya wagombea wawili kutoka CCM na CHADEMA.
Joshua Nassari na Siyoi Summari.
Pamoja na kuwa...
Katika hali isiyo ya kawaida leo wananchi wa wilaya ya kyela wamekutana maeneo ya viwanja vya siasa kyela mjini kujadili hatma ya jimbo lao pamoja na afya ya mbunge wao Dr.H.Mwakyembe, ambaye afya...
:shock:The Deputy Secretary-General of the United Nations is an office created to handle many of the administrative responsibilities, help manage Secretariat operations, and ensure coherence of...
Watanzania wenzangu mgomo wa madaktari kama ukija kutokea kwa mara ya pili kwani mimi siamini,lazima tujilaumu wote kwani wewe na mimi tuna nafasi ya kutetea lile ambalo ni la maslahi ya...
Tangu aingie madarakani moja ya malalamiko makubwa ya wananchi kwa JK ni woga wa kuchukua maamuzi magumu dhidi ya viongozi anaowateua yeye. Mifano ni mingi: Chenge-mpaka madhara yalipojitokeza...
Nimesikia kwa vyombo vya habari kuwa next wiki madokta huenda wakagoma ati kwa kuwa bado wizara inaongozwa na mawaziri wale wale waliosababisha mgomo wa awali kitu ambacho serikali kupitia kwa PM...
Watanzaniawanapoteza muda mwingi kwenye kusubiri.........
Wakuu,
Wana JF, tumeshaongea sana kuhusumambo mengi yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu, nakutuzidishia umaskini. Lakini hebu...
Haiwi haiwi mwisho imekuwa.
Ni nape nnauye yule katibu mwenezi wa ccm taifa.ambae amekuwa akipinga ufisadi ndani ya chama chake kila siku majukwaani, hatimae amejitokeza rasmi huko arumeru na...
Wakuu JF
Ni ushahuri ninautoa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Kama kweli mna dhamira ya dhati ya kushinda ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Mtumueni John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.