Chadema kama mnataka kushinda ubunge Arumeru mtumieni John Shibuda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kama mnataka kushinda ubunge Arumeru mtumieni John Shibuda

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mshume Kiyate, Mar 3, 2012.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakuu JF

  Ni ushahuri ninautoa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

  Kama kweli mna dhamira ya dhati ya kushinda ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Mtumueni John Shibuda, kuwa mkuu wa kampeni.

  Ni mtu makini mwenye huwezo wa kujenga hoja za kuwavuta wapiga kura. Kama mtamuweka pembeni na huu uchaguzi basi mtakuwa mmefanya makosa makubwa.
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Yeye mwenye kigeugeu,akipelekwa huko si ndo ataharibu kabisa!sijui wakubwa watasema,binafsi nahisi kuonekana kwake Arumeru ndo uharibifu utakapoanza,maana anaka'element za kimagamba.
   
 3. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Lile li Shibuda linataka posho tu, hana kingine anachojua
   
 4. n

  ndisinzowa Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Marando alisema,shibuda si chadema bali ni mbunge wa chadema.
   
 5. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Shibuda tena,kwangu mimi huyu ni tapeli tu wa kisiasa.Ni bora kukosa mtu kabisa.Mambo ya kijinga aliyoyafanya dhidi ya CDM umeyasahau mara hii?Kwanza CDM kama wangekuwa chama makini walipashwa kuwa wameshamfukuza. Si ajabu hata hivyo wanakula sahani moja.
   
 6. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Shibuda ni pandikizi la magamba anaweza akafika mahali akajisahau na kujikuta amevaa gwanda la kijani huku akiikampenia Chadema. Hafai kuwa kampeni meneja wa Chama makini.
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa napenda sana ile Mipasho yake! Labda Chadema wakimpeleka kule wamfanye kama tumbuizo la Taarabu katika kampeni ni burudisho tosha kabisa.
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mnaweza kuwapeleka wahuni Arumeru ndiyo wakawakosesha ushindi watu wa Arumeru ni wastaarabu sana.
   
 9. M

  MYISANZU Senior Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkojo wa chawa at work! Hebu tutajie hizo hoja alizowahi kujenga
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  umetumwa?
   
 11. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inawezekana chinchilla ndiye Shibuda mwnyewe anajaribu kutest upepo.
   
 12. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Mimi Kirilo original nasema akija shibuda pandikizi, mlaku, ndumilakuwili, aaakh kura yangu na ya wengineo tulio na uchungu wa kuwatimua magamba huku Meru jamani Chadema hamna bahati.
   
 13. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani yule si ni ccm? Sina hakika kama ni vibaya ccm wakimtumia kwa uwazi tofauti na sasa.
   
 14. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Huo ushauri wa kumpeleka Shibuda Meru wape CCM maana Shibuda ni mamluki ndani ya CDM.
   
 15. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Mipasho ipi ya kipuuzi ya kusema Chadema chama cha walokole? Unawaza kwa style ya meya wa dar? Meru hatutaki kumsikia shibuda yeye sawa na wasira alivommalizaga mrema miaka hiyo, sasa hapa mgombani hatutaki magovinda, chadema msituuwe kwa presha
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Washauri wa CHADEMA mmekuwa wengi mno! Saidieni ndoa ya CUF na CCM
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Chadema mbona mnamkataa kamanda wenu Shubuda!
   
 18. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ndoa imeshageuka ndoano,mwanamke anataka talaka yake
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  We vp,unamtaka??
   
 20. P

  PRODIGOUS Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora wana chadema Arumeru tusiwakilishwe kuliko kuwakilishwa na huyo shibuda................................................................
  :alien::alien:
   
Loading...