Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawasikitikia sana mwigulu nchemba na mh.benjamin willium mkapa kwa jukumu walilokabidhiwa la kupangwa mbele kwenye mapigano makali.Ni wazi kuwa CCM inasita kuwatumia viongozi wake wa kitaifa kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais JK kaingia ndani ya mji wa Moshi mida hii akiwa ndani ya ulinzi mkali...kila kona ni polisi waliosheheni silaha nzito,msafara wake ni zaidi ya magari 30...atakuwa kwenye lango kuu la mlima...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Kujiuzulu haiwezi kamwe kuwa nje ya uwezo wa mtu mwenye utashi wake,kauli ya dr.Lucy Nkya kuwa kujiuzulu kuko nje ya uwezo wake ni kutuambia kaandika barua na bosi wake kamgomea kujiuzulu. Mungu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, kama sehemu ya maandalizi ya kampeni za uchaguzi mdogo uko Arumeru Mashariki, katika kuhakikisha kwamba CCM wanaangukia pua naomba mwenye data zifuatazo amwage apa ili kuwafeed makamanda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pamoja na upinzani unaonyeshwa na Chadema katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki; CCM itaibuka na ushindi wa kati ya asilimia 51-55; zipo sababu nyingi lakini hizi ndizo hasa zitazoipa CCM ushindi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo ,CHADEMA, (BAVICHA) mkoa wa Morogoro limesitisha maandamano ya amani yaliyoandaliwa na Baraza hilo. Maandamano hayo yalipangwa kufanyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WADAU HABARI ZA MCHANA. NIMEKUWA NIKIFUATILIA BAADHI YA CHAGUZI NDOGO TANZANIA NILICHOGUNDUA NI KUWA KWA MFUMO ULIOPO CCM ITAKUWA IKITANGAZWA MSHINDI KILA UCHAGUZI WAUTAKAO(SI KUSHINDA) igunga...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Jeshi la polisi mkoani Mbeya limeendelea kujisiriba matope kwa kuendesha mauaji ya kiholela kwa raia ambapo jana askari wa jeshi hilo wamemuua mwanafunzi Said Msabaha wa shule ya Sekondari Lupa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The issue of political parties and young people is a broad issue that needs thorough discussion. The reason why I am saying this is that many young people of today do not like associating...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Wakuu naomba mnisamehe sana kwenye hili, sina imani kabisa na huyu jamaa Adamu malima,leo asubuhi nilifungua TBC nilipomwona anaongea nilipata mashaka mengi sana,hivi kweli alipewa unaibu waziri...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Watu Wa Meru mashariki wanakumbuka vizuri maneno yako Mh. Mkapa. siku ile ulipokuja kijiji nyumbani kwa marehemu mbunge Sumari (R.I.P) kufungua shule ya sekondari Akheri. ulisema kuwa ,wewe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma kwenye gazeti moja likisema Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru Mashariki kwa kambeni. Aidha taarifa imeendelea kusema kuwa hata Mkutano mkuu wa CHADEMA uliokuwa ufanyke umeahirishwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
CCM ni chama kinachopoteza umaarufu wake kwa kashifa nyingi zikiwemo za ufisadi wa baadhi ya makada wake. Makada hao wenye nguvu kubwa ya fedha na mtandao mkubwa ndani ya chama na serikali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutokana CCM kutegemea pesa kuhonga wananchi ni vizuri tuombe Mungu zitokeze chaguzi zaidi ya tano ili wahonge mpaka wachakae. Ni vizuri tuanze kuhamasisha kale kamsemo ka KULA KWA CCM KURA KWA...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
USHINDI wa Siyoi Sumari kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, unadaiwa kuitesa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, baada ya baadhi ya wajumbe kukuna vichwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeamua kuwasimamisha kazi Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali, ili kuweza kupisha uchunguzi maana hizi tuhuma zinafedhehesha taifa." "Kwa upande wa Waziri na Naibu Waziri wa Afya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Cha ajbu wake ECO-IMPERIALISTS kutoka Kenya (WWF& CO) waliopinga tusijenge barabara Serengeti wako kimya juu ya huu mradi kwa sababu una manufaa kwa kenya Tazama from 10:30
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Rungu la Kikwete lilimwokoa Siyoi Send to a friend Monday, 05 March 2012 09:17 Rais Jakaya Kikwete NAPE, WASSIRA WADAIWA KUSIMAMA KIDETE ATOSWE, JK AKATUMIA 'RUNGU'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana Arumeru nimesikia kuwa Mzee Mkapa ndio atakuwa kiongozi wa uzinduzi wa kampeni za CCM hapa kwetu Arumeru MAshariki. Naomba akija ajibu maswali haya 1. Shamba la Madira Estate...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom