Nimeamua kuwasimamisha kazi Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali, ili kuweza kupisha uchunguzi maana hizi tuhuma zinafedhehesha taifa." "Kwa upande wa Waziri na Naibu Waziri wa Afya...
Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae...
Cha ajbu wake ECO-IMPERIALISTS kutoka Kenya (WWF& CO) waliopinga tusijenge barabara Serengeti wako kimya juu ya huu mradi kwa sababu una manufaa kwa kenya
Tazama from 10:30
Rungu la Kikwete lilimwokoa Siyoi
Send to a friend
Monday, 05 March 2012 09:17
Rais Jakaya Kikwete
NAPE, WASSIRA WADAIWA KUSIMAMA KIDETE ATOSWE, JK AKATUMIA 'RUNGU'...
Jamani wana Arumeru nimesikia kuwa Mzee Mkapa ndio atakuwa kiongozi wa uzinduzi wa kampeni za CCM hapa kwetu Arumeru MAshariki.
Naomba akija ajibu maswali haya
1. Shamba la Madira Estate...
For sure kama kinachoendelea Arumeru Mashariki hakitabadilika, Chadema wana jimbo.Nahofia tu fununu za ununuzi wa kadi za wapiga kura ambao wadau wanaozungumzia pia hawajanipa ushirikiano wa...
Nikiwa mmoja wa wapenzi na mashabiki wakubwa wa mabadiliko makubwa kwenye nchi hii,naomba nichukue nafasi hii kutoa ushauri wangu kwa viongozi watendaji wa chama kinachoelekea kutupeleka kwenye...
1) UBUNGO - Mgombea Hawa Ng'umbi alikuwa hakubaliki kwa wananchi.
2) Iringa (M) - Monika Mbega alikuwa hakubaliki kwa wananchi baada ya kumwengua Mwakalebela kwa kashfa ya rushwa.
3) Ilemela -...
Wakuu hii ni Taarifa iliyotolewa na BAVICHA kwa vyombo vya habari nawakilisha kwa maelekezo ya mkuu wangu wa kazi!
Baraza la Vijanala Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, (BAVICHA) Mkoa wa...
Habari kwamba CCM inamtumia rais wa awamu ya tatu Ben Mkapa kuzindua kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru ni dalili kwamba JK hana confidence ya kukubalika kama atasimama. Kama CCM ina...
Ndugu zangu wa URAMBO ni mambo gani Mh SAMWEL SITTA amewafanyiwa katika vipindi vyake vyote vya ubunge ambayo kamwe hamtayasahau? je hapo mlipo kimaendeleo mnastahili?
Kwa viongozi wa chama, mbunge wetu mtarajiwa joshua nassari, wafanya biashara deal...,,,.. Vijana wa jimbo la arumeru mashariki tunahitaji nembo, bendera, magwanda na vitambulisho vya chama.. Tupo...
Msisimko wa Kisiasa unapoendelea ktka maeneo mbalimbali ya Jimbo la Arumeru Mashariki kwenye uchaguzi mdogo yanakila dalili ya silaha za jadi kutumika.Hivyo tunavoimba vyombo vya usalama...
Mukama, Mzindakaya matatani Mukama, Mzindakaya matatani
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 22 February 2012-MWANAHALISI
MRADI wa maji uliogharimu Sh. 1. bilioni ambao uliolenga kunufaisha vijiji...
By OMAR MOHAMMED
Posted Saturday, February 18 2012 at 14:01
We live in interesting times. Revolutions are springing up everywhere - The Arab Spring; Occupy Wall Street; Walk to Work. For...
Inakuwaje Al-Adawi mmiliki wa Dowans Tanzania anaamuru kutopigwa picha na media nzima inakubali? Interests za nchi hii zimeishia wapi? uzalendo upo wapi? yaani ninavyojua lile gazeti ambalo...
Mheshimiwa Waziri,
Its obvious kuwa wewe ni msomi na ndio kioo chetu huko nje lakini inaonekana kuwa kijana wako bwana Assah Mwambene isnt doing his job properly ba bila kusahau wahusika wengine...
Harakati za viongozi wa CCM katika ofisi kuu za tume ya uchaguzi zinaanza kututia shaka kwani katika kipindi kifupi tu watu wameshuhudia Nape na mwigulu mchemba wakipita katika ofisi za tume ya...
Wanadai ofisi ya RC Iringa inawatumia bila kuwalipa posho,
"Alisema kuwa wanahabari mkoa wa Iringa wamechoshwa kunyanyaswa na ofisi ya mkuu wa mkoa na mara nyingi ofisi hiyo ya mkuu...
Uongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM umeripotiwa kumuunga mkono Raisi wa Umoja wa Vijana wa ANC, Julius Malema, ambaye kamati ya nidhamu ya ANC hivi karibuni inasemakana ilimfukuza unachama wa ANC na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.