Mgomo wa madaktari-wanasiasa, wanaharakati mbona kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari-wanasiasa, wanaharakati mbona kimya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 8, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mbona kimya sana wanasiasa na Wanaharakati kuhusiana na mgomo wa Madaktari unaoendelea au ndo tumemaliza kazi nini? Thehe thehe thehe thehe. Natania jamani.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa ni noma kama wachungaji wa Ng'ombe. Wakishagombanisha Madume utawaona haooo kwenye vichuguu virefu wakiangalia game. Huwezi kuwasikia tena. Nilisikia siku moja kigogo mmoja wa TAMWA anasema "tumegungua kuwa Mawaziri hawajajiuzulu na tumegundua kuwa Madaktari nao wamerudi kazini". Nikafikiri wakiamka viboko kwa wote Mawaziri na Madaktari. Kumbe ile "Tumegungua" ilitokna na ukweli kwamba ndiyo walikuwa wametoka kupokea Ngawira kutoka kwa mtoto wa Bibi. Duh! Kweli Ngawira noma. Inafanya mtu unapagawa kabisa . Tum,tum tum , tumegundua kuuuuwaaaaaaaa, hakika anakulea, hongera mama.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mods peleka chit chat, au utani na jokes
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  Gemu hilo halina refa wala magoli!!!
   
 5. n

  nicksemu Senior Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mpaka wagonjwa waanze kufa
   
 6. h

  hsagachuma Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngawira ilimuuwa Yesu. Utu umetoweka
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Jamani masikini watanzania, kura zenu zilinunuliwa na nyingine kujaziwa na NEC.

  Nani atawajali watanzania?

  Watanzania waoga, wapole. Jamani nani atawaunganisha tuwatoe hawa mawaziri?

  Mshahara wa ubunge anayo, sasa mshahara wa uwaziri ni tamaa.

  Madaktari na manesi hawamtaki, sasa huyu waziri ataongoza nani? Wagonjwa???

  Huyo waziri achukue sindano na bandage aende Muhimbili basi.

  Nguvu ya Umma iko wapi? Nani awaunganishe Watanzania ili kesho Asb serikali ikute viwanja vimejaa watu??

   
Loading...