Maamuzi ya Serikali juu ya MGOMO WA MADAKTARI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maamuzi ya Serikali juu ya MGOMO WA MADAKTARI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Isinika, Mar 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. I

  Isinika Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Mwenye habari zenye uthibitisho kuhusu maamuzi au kauli ya serikali kuhusu mgomo wa madaktari atuUpdate
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  wewe ndio utuambie si ndio umeleta hoja?
   
 3. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe umesikia maamuzi gani?hata kama hayana udhibitisho.
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kutoka kikao kipi ulikosikia kwamba watatoa maamuzi? pengine itatusaidia na sisi kufuatilia kama wengine wako karibu


  Utakuwa umelezwa muhimbili !!!!!!!! unataka uthibitisho kwa ambao hatuumwi na sisi hatuna habari
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Msimamo ni ule ule wakawatibu akina Ananilea, Bisimba Ulimboka na Namala. Katika hospitali za Serikali hakuna tatizo tayari muda wowote madaktari watamwagwa wengi sana.
   
 6. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  teh teh teh!!!propaganda at work........ ule mgomo wa kwanza mlisema hivi hivi, mkaishia kutuletea madaktari 15 muhimbili............... time will tell.
   
 7. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,807
  Likes Received: 2,752
  Trophy Points: 280
  Maktari watamwagwa toka Mars au Jupiter, au serikali itatakodisha wachina kwa hela ambayo haina! wake up!
   
 8. A

  Afghan Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama siyo uchokozi ni nini sasa? Una maanisha serikali hii ya Pinda au serikali jirani kama vile ya Kagame kusaidia? Hii ya TZ kwa sasa wako kwenye mshtuko na akili hazifanyi kazi!
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  sera za ajira zinaelekeza kuajiri mtaalam nje ya nchi kama huwezi kumpata nchini, wasije wakajichuuza, tutaanza kuwavurumishia mvua ya mawe wao, wake na watoto wao, bado kitambo kidogo!!!! Tutaanza na mponda pinda kufuata.
   
 10. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weweeee mi yangu mimacho tu ngoja tuendelee kukosa uzalendo, busara na hekima za kiutawala katika masuala mazito kwa majibu mepesi.
   
 11. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  maamuzi ya serikali wanapima ukali wa panga kwa kutumia shingo au wanajaribu kuimba huku wanatafuna karanga!
   
 12. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi nashangaa watu 2 tu wanatusumbua akili, kwan wao wana impact gani kwa taifa letu, piga chini
   
 13. b

  baraka boki Senior Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  maamuzi yapi?
   
 14. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  "Sisi serikali tumejipanga vilivyo kukabiliana na tatizo", mtoto wa mkulima huyo..!! hajasema alikabiliana nalo vipi lilipotokea sasa anadai wamejipanga.. hii nchi niya kusadikika mpaka hapo magamba watakapoondolewa si madarakani tu bali katika historia pia..
   
 15. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  mh JK kimya...... nchi ya hajabu sana hii
   
 16. Wakunyumba88

  Wakunyumba88 Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Viongozi wa nchi hii wamechomwa sindano za ganzi katika ubongo wao, JK, mtoto wa mkulima feki wote hakuna kitu, tunahitaji mapinduzi tu sasa maana hii rulling class imeshalewa na madaraka na inatuona si wananchi kama takataka! Mwisho unakuja tena very soon!
   
 17. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kuna recruitment ya madr toka china kama 1000 hivi wanaandaliwa kuja kule hawana kazi ya kufanya
   
 18. F

  Fofader JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kwa gharama kiasi gani?
   
 19. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Jamani wale ambao mkunywa bia na Riz 1 mwambieni hali ni mbaya amwambie baba atoke usingizini.
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wauguzi na manesi nao watatoka wapi?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...