Ufisadi wa hospitali binafsi na mgomo wa ma DR. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa hospitali binafsi na mgomo wa ma DR.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjenda Chilo, Mar 8, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Tunapoendelea kusubiri hatma ya mgomo hebu tuangalie huduma binafsi especialy hawa jamaa wa aghakhan. hawa jamaa ni wezi. haiwezekana kumtoa mtoto tumboni jamaa wanachukua milioni 3. kwa huduma zetu za serikali zinavyokuwa mbovu tunazidi kuwatajirisha hawa wahindi ambao wanajifanya ni charity org. hivi wizara haina ceiling price ya huduma za tiba? mtoto wa jamaa yangu alilazwa 4 a week na akafariki lakini jamaa wakaja na bill ya milion 8 na wakakomaa ilipwe ndo tuchukue maiti. hawa jamaa wana jeuri kwasababu hospitali zetu choka mbaya. madaktari jamani wanapoint muhimu sana. hospitali zetu ziboreshwe.
   
Loading...