CUF kutumia sh 500 milioni kwa mapokezi ya Lipumba

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234

Taarifa za uhakika nilizopata ndani ya chama kinachomomonyoka (CUF) ni kwamba clique ya Seif-jussa-Mtatiro imetenga karibu Sh 500 milioni kwa ajili ya mapokezi ya Prof Lipumba Jumapili.

Nadhani waishio hapa Dar wameona mabango mbali ya Lipumba yakizagaa katika barabara kuu mbali mbali. Hali kadhalika mabasi yamekodishwa tayari kusomba wafuasi kutoka Tanga na sehemu zingine zenye wafuasi wa chama hicho hasa vijiji kutoka bararabara iendayo Lindi.

Lengo ni kuhakikisha Lipumba aone kwamba CUF bado iko imara, haipukutiki, ni wasaliti wachache waliojiondoa au kuogopa kuondolewa ndiyo wanaleta shida.

Mtoa habari wangu pia kanidokezea kuwa nyingi ya hela hizo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Ubunge Arumeru na viti vya udiwani katika kata nyingine mbali mbali.

CUF imejitoa katika ugombea wa Arumeru na kupunguza sana pesa za kampeni katika ugombea wa madiwani kwa ajili ya kufanikisha mapokezi hayo.

Nawasilisha.
 
Nilikuwa nimejipanga kwenda kumpokea kama Mtanzania aliyefanya vyema huko ughaibuni katika nyanja ya uchumi kumbe kuna siasa ndani! Aaah
 
Hivi amefanya nini kikubwa huko ughaibuni mpaka astahili mapokezi?? Nimeona kwenye thread mmoja wanataka hata Rais aende kumpokea!!!

Kinachonishangaza, tumeona watznzania kama akina Salim ambao walikuwa Rais wa UN na alikaribia kua Katibu wa UN na alikuwa Katibu wa AU lakini alirudi nyumbani kimyakimya bila hata wengine kusikia. Sasa huyu Bwana Lipumba kafanya nini hasa?? Naomba kuuliza.
 
Sikio la kufa halisikii dawa.
Si Lipumba, mnyamwezi wa kubeba mizigo miziti, anayeweza kuiokoa KAFU.
Maalim Seif na Juha Jusaa wamepandikiza mbegu za chuki zinazo mea kwa kasi kubwa katika jamii ya kiTanzania.
Cha kushangaza si Seif wala viongozi wa serikali ya SMZ na Muungano waliokaripia tamko la KAFU la kibaguzi, tamko liliotolewa na "Juha" Jussa kuwa ushindi wa CCM kule Uzini unatokana na Wakristo na watuweusi toka Bara.
Katika mazingira hayo sitegemei Lipumba kusahihisha kitu na akaeleweka.
 
Anapokelewa ili iweje mtu kaacha chama kimechanika mapande huu sasa ni wazimu kama ndio siasa zenyewe tunasafari ndefu ya kukomboa nchi yetu
 
kwani mpaka apokelewe na kila mtuu? kwani alisindikizwa nani?
 
Tuuone huwo ujio wake wa mapokezi ya mil500 kama atasaidia swala la uchumi katika nchi TZ,I wish kuona atakacho fanya pindi atakapo fika nchini.
 
Tanzania zaidi ya uijuavyo. CUF kumbukeni kuna watoto wengi tu shuleni hawana madawati. Wachangieni kama Watanzania wenye nia njema na nchi yenu, kuliko kuziteketeza kihasara namna hiyo. What a show-off!
 
Nilikuwa nimejipanga kwenda kumpokea kama Mtanzania aliyefanya vyema huko ughaibuni katika nyanja ya uchumi kumbe kuna siasa ndani! Aaah

500milioni ndio maana ITATIRO JULUIS hawezi huhama chama

anatoka wapi huyo lipumba na kafanya nazuri gani huko ughaibuni?

Hivi amefanya nini kikubwa huko ughaibuni mpaka astahili mapokezi?? Nimeona kwenye thread mmoja wanataka hata Rais aende kumpokea!!!

Kinachonishangaza, tumeona watznzania kama akina Salim ambao walikuwa Rais wa UN na alikaribia kua Katibu wa UN na alikuwa Katibu wa AU lakini alirudi nyumbani kimyakimya bila hata wengine kusikia. Sasa huyu Bwana Lipumba kafanya nini hasa?? Naomba kuuliza.

mmume wao kaishiwa manake kwa sasa anaelekeza arumeru

Sikio la kufa halisikii dawa.
Si Lipumba, mnyamwezi wa kubeba mizigo miziti, anayeweza kuiokoa KAFU.
Maalim Seif na Juha Jusaa wamepandikiza mbegu za chuki zinazo mea kwa kasi kubwa katika jamii ya kiTanzania.
Cha kushangaza si Seif wala viongozi wa serikali ya SMZ na Muungano waliokaripia tamko la KAFU la kibaguzi, tamko liliotolewa na "Juha" Jussa kuwa ushindi wa CCM kule Uzini unatokana na Wakristo na watuweusi toka Bara.
Katika mazingira hayo sitegemei Lipumba kusahihisha kitu na akaeleweka.

Anapokelewa ili iweje mtu kaacha chama kimechanika mapande huu sasa ni wazimu kama ndio siasa zenyewe tunasafari ndefu ya kukomboa nchi yetu

cuf chama cha kuwapokea wageni watokao nje ya nchi na sio chama cha siasa rip cuf milele daima ameeen!!

Tuuone huwo ujio wake wa mapokezi ya mil500 kama atasaidia swala la uchumi katika nchi TZ,I wish kuona atakacho fanya pindi atakapo fika nchini.

Chuki binafsi imetawala zaidiii!!!
 
Back
Top Bottom