HATARI: Vifaa vibovu vya kupima UKIMWI & Malaria vyatumika Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HATARI: Vifaa vibovu vya kupima UKIMWI & Malaria vyatumika Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Dec 30, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mganga Mkuu wa Tanzania (Chief Medical Officer) Dr. Deo Mtasiwa amedaiwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya nchini kwa kushindwa kutoa maagizo ya kuondolewa kwa vifaa vya kupimia virusi vya Ukimwi (HIV) kufuatia taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa vifaa hivyo vina kasoro kubwa na hivyo vinapaswa kuondolewa kwenye matumizi ya binadamu mara moja.

  Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika Dr. Mtasiwa alipokea barua toka Shirika hilo ikimtaarifu juu ya mapungufu hayo makubwa ya vifaa vya SD Bioline HIV-1/2 3.0 vinavyotengenezwa huko Korea ya Kusini na kampuni ya Standard Diagnostic ya Jiji la Kyonggi-do.

  Hata hivyo tangu kupokea taarifa hiyo toka WHO pamoja na taarifa toka kampuni ya Standard Diagnostic yenye kuthibitisha maamuzi ya WHO Dr. Mtasiwa hajachukua hatua yoyote ya kutahadharisha wanunuzi na watumiaji wa vifaa hivyo ambavyo vingi vinamuda wa matumizi unaoishia mwaka 2012 na 2013.

  Maisha ya vifaa hivyo ni miezi 24 (sawa na miaka miwili) kabla havijaondolewa kwa kupita muda wake wa matumizi.

  Kutokana na kinachodaiwa kuwa ni uamuzi huo wa Dr. Mtasiwa ambaye anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa na "ushawishi mkubwa pale Wizarani" hata kuzidi baadhi ya watendaji wa juu maisha ya wananchi wa Tanzania yako hatarini kwani matumizi ya vifaa hivyo ambavyo WHO imesema inauwezekano wa kuwa na uharibu wa asilimia 50 majibu yanayotolewa kupitia vifaa hivyo yaweza kuwa na makosa makubwa.

  Habari zaidi: Fikrapevu.com
   
 2. c

  chama JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji
  Kipimo sahihi ni watanzania kuelemishwa kuachana na mambo ya ngono tu; elimu ya afya itiliwe mkazo, nchi nyingi duniani zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza maambukizo kwa kutumia afya ya jamii; na viongozi wamekuwa mstari wa mbele kwenye vita hivyo.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mkuu, ngono si njia pekee ya maambukizo na je, malaria pia huambukizwa kwa ngono? Maana vifaa vya kupima malaria pia ni vibovu. Hapa issue si ugonjwa ni UFISADI wa kutumia afya za watu, kama vifaa havina maana (kwa mawazo yako), basi serikali isiagize, iagize chakula!
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa Tanzania Elimu ni kubwa mno watu wanaujua ukimwi. Viongozi wamekuwa mstari wa mbele kuelimisha watu na kuhamasisaha watu wapime kwa hiari (VCT). Hukumbuki JK na mke wake walikuwa kwenye kampeni hiyo pale mnazi mmoja wakipima na kuhamasisha watu na kauli mbiu ya Tanzania Bila Ukimwi inawezekana? Au hutaki?
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu MMM ukigusia UFISADI kwenye ukimwi unawagusa wengi hapo!! Ukirejea definition ya ufisadi na ukauhusisha na ukimwi utaleta mengine!
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  pale wizara ya afya kuna madudu sana.mara MSD dawa zimeEXPIRE za 4bn,mara Kibong'oto wagonjwa wanarudishwa nyumbani hospital haina dawa za TB.Imebakia agent wa bishara ya kupeleka watu India
   
 8. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Please be informed of a quality issue with the HIV Rapid Diagnostic Test SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10) manufactured by Standard Diagnostics (Republic of Korea).
  *
  PRs should suspend*all pending orders for this product, and follow the steps below.
  *
  “Background information
  *
  We were alerted by PFSCM (VPP procurement agent) of a problem during*quality control testing of the SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10) manufactured by Standard Diagnostics (Republic of Korea).* The problem relates to an unacceptably high rate of invalid test devices.* This problem has been detected in several lots.* We immediately contacted the WHO Prequalification of Diagnostics programme, our technical partner in WHO for all diagnostics quality issues, and they were able to confirm that they had observed a similar problem during re-assessment for prequalification.* WHO contacted the company and instructed them on a course of action to investigate the quality issues; these investigations are still undergoing.
  *
  Based on the current information available :
  *
  WHO Prequalification*of Diagnostics Programme has issued a field safety notice which was published on their website. http://www.who.int/diagnostics_laboratory/procurement/111201_productalert_for_product0027_mx012.pdf
  *
  SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10) has been de-listed from the “List of HIV diagnostics eligible to tender for procurement by WHO in 2011”, *and therefore can no* longer be purchased with the Global Fund resources.
  *
  The company itself is voluntarily recalling several lots that were also detected as defective.
  *
  The Global Fund analysed the PQR entries and*identified number of countries that have purchased this product in 2010 and 2011 . Please find table below summarizing the purchases of SD Bioline HIV-1/2 3.0 reported in the PQR database.* For easy reference we have copied below the list of countries concerned:
  Belarus, Benin, Burkina Faso, Honduras, India, Jamaica, Liberia, Malawi, Mongolia, Nepal, Philippines, Rwanda, Sierra Leone, Somalia, South Africa, Sudan, Tanzania (United Republic), Togo, Ukraine, Zimbabwe.
  *
  Recommended actions for countries:
  Based on information available, QADM team would like to request*that all the countries listed above*be informed as soon as possible*that quality issues have been detected with SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10) manufactured by Standard Diagnostics.*
  *
  The Global Funds recommends the following:
  *
  PRs should suspend*all pending orders for SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10) manufactured by Standard Diagnostics;
  *
  PRs who have procured and are using*this product should:
  *
  follow the recommendations issued by WHO Prequalification of Diagnostics programme, as per the field safety notice posted on WHO website:
  Field Safety Notice No. 1 SD Bioline HIV 1/2 3.0 (Standard Diagnostics).pdf*
  User complaint form for reporting problems and/or adverse events related to diagnostic products.doc
  recall the following affected lots , as indicated by the manufacturer Standard Diagnostics: *023426B, 023427, 023427B, 023428, 023428B, 023430, 023430B, 023418, 02418B, 023419, 023424, 023424B, 023425B, contacting the manufacturer with filled form as instructed in the following advisory notices:
  Standard Diagnostics Advisory Notice – Recall, dated 25 November 2011.pdf**
  Standard Diagnostics Advisory Notice – Recall, dated 21 November 2011.pdf*
  arrange for procurement of *an alternative product. Selection to be done depending on the country's national validated testing algorithm and Global Fund quality assurance Policy : including HIV diagnostic products eligible for procurement according to WHO evaluation (List of HIV diagnostics eligible to tender for procurement by WHO in 2011, http://www.who.int/diagnostics_laboratory/procurement/111117_hiv_products_2011_v5.pdf)* and/or other products compliant with the Global Fund Quality Assurance Policy (.i.e. authorized for use by a regulatory authority member of GHTF). For any technical assistance you can contact Ms Anita Sands* sandsa@who.int from WHO Prequalification of Diagnostics Programme: **
  *
  Should there be stocks* of other lots - not specified in this note- of* SD Bioline HIV-1/2 3.0 (product code 03FK10) in the programme, please send us the relevant information: batch number/s, quantity of tests in stock, and a copy of the national algorithm.*
  *
  We are aware of the disruption for programmes if the use of this product is stopped now, however, the use of defective RDTs*could be extremely*detrimental and therefore we recommend the PRs to take immediate action.
  *
  For any additional question or information, Principal Recipients can contact the*WHO Prequalification of Diagnostics Programme: *Ms Anita Sands* sandsa@who.int*and the Global Fund: Joelle Daviaud joelle.daviaud@theglobalfund.org or Carmen Perez Casas Carmen.PerezCasas@theglobalfund.org*for any additional information.
   
 9. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Chajuu a.k.a 10% inatuua watanzania. imagine umepima na ukaambiwa unao.....moyo ukadunda presha juu na ukaamua kuwahi kwa kujiua? Nawahurumia watanzania....uongozi dhaifu tulionao unatumaliza
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mambo mengi ya ajabu huwa yanawezekana tz tu
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  *Habari ya kutisha* na inayoonyesha jinsi *baadhi ya watumishi wa umma* walivyo na *dharau* kwa *watanzania*. Puuuuuu!

  MPUI - TUNDURU.
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mzee hili ni suala la dunia. Kenya wamerudisha hivi vifaa juzi!!
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Na yule ambaye alipima akaonekana hana kumbe anao; naye hali itakuwa mbaya kwa kuwa atakuwa amechelewa kutumia ARV.

  Kumbe ndiyo maana tunaambiwa mtu alipimwa akaonekana yupo chanya anakaenda kwa Askofu Kakobe akaombewa akarudi kupima akaonekana hasi! Kumbe siri ni kwamba vipimo vinachanganya. Mungu wangu twafwa!!

  Wale ambao walikuwa wanataka kuoana wakaenda kupima mmoja akaoneka hasi kumbe ni chanya! Wakaoana wakapeana ndoa kumbe hali si shwari!! Duh Afrika tunakufa kwa mengi
   
 14. Atubela

  Atubela JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 180
  Hilo halipingiki watu wanafanya ufisadi kwenye afya za watu, na ndio maana wao wanakimbilia India hata kama mtu anapiga chafya kwa sana wanaenda kupima India. kwa kuwa wanajua washachakachua vifaa vya utabibu.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  khaaa inakuaje huna virusi vipimo vikaonyesha unao?
  Au unaumwa na kuwa na dalili zote za malaria vipimo vikaonyesha malaria hakuna?

  Kweli adui wa mtanzania ni mtanzania
   
 16. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio maana malaria Tanzania haiishi.....! Kuna siku nilijaribu kupima vituo vya afya vitatu, Cha kwanza niliambiwa na malaria 4, nikaenda cha pili wakakuta malaria 3, nikaenda kingine nikaonekana sina malaria.
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu si vipimo hivi ndivyo vilionyesha kuwa mtu ana wadudu 50 wa malaria!!!
   
 18. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mada umeielewa lakini?
   
 19. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  aisee naweza amini sasa, kwa maana jana nilimpeleka mgonjwa Muhimbili nikaamua nami nipime malaria pale maabara du! kifaa wanachopimia sio darubini tena ni kidude kama cha kupimia mimba nyumbani yani anachukua tone la damu kicha naweka kwenye hicho kidude na kuweka reagent kidogo kama tone then ikitokea mistari miwili ndo una maralia na kama ukitokea mstari mmoja manayake huna. mi nikawa negative wakati dalili zote za malaria ninazo nikapita pharmacy nikanunua dozi ya malaria nikapata.
   
 20. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Hii mbona powa tu mi nilifikiri vinatoa taarifa za uongo upande mmoja, kumbe inabalance na kwakuwa lengo la kupima ukimwi ni ili kuweza kupata data tu na si kumpatia mgonjwa tiba basi ikiwa makosa ya vyombo hivyo ni 50% kwa wenye nao na wasionao, basi maanake ni kwamba mwisho wa siku wanakuja na data kamili ya idadi ya watu wenye maambukizo na wasio na maambukizo.

  [pia kwa yale mashirika feki ya kupambana na ukimwi na kuwasaidia waathirika nafikiri kuondolewa kwa mashine hizi kwao na habari mbaya sana hivyo nafikiri kuna ka-u-lobby flani kupitia kwa huyo dokta mkuu kama ilivyoelezwa kwanamna flani kuna ka- influenza chake na ana ushawishi maendeo ya karibia na kwa kina ngeleja na jairo wa wizara husika.

  ahaa washenzi hawa nalobby kwenye wizara ya elimu ili waweze kuuza vitabu vyao ndio maana mitaala haileweki na nasikia wameigawa tanzanaia katika nyanda kuu mbili kielimu na kila ukanda uatumia mtaala wake ila mwisho wa siku mtihani wa kumaliza unatoka taifa na ni mtihani huo huo kwa ukanda zote, sijui kwanini wasitunge mitihani ya kumaliza shule ya kanda na si ya taifa.

  Nchi hii kweli kilakitu kinachezewa, Afya, (Ndio maana wanenda kutiwa njee nilikuwa sijui), Elimu (Ahaaa kumbe ndio maana kulikuwa na wimbi la watoto wa vigogo kusoma nje ya nchi mpakwa vigogo hao hao walipoanzisha hizi wanazoziita sijui fm nini vile )
  madini na nishati (Hooo my Dog! huko ndio usisema), fedha na uchumi , viwanda na bishara, utalii,
   
Loading...