Gari la matangazo la CCM lazomewa Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la matangazo la CCM lazomewa Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Mar 8, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nihapa Kirumba jijini Mwanza lilikuwa likiwatangazia watu wahudhurie uzinduzi wa kampeni za mgombea udiwani kupitia CCM kesho kutwa katika viwanja vya Magomen.Baada ya kupita mitaa ya Mwaloni raia walianza kuzomea na kupiga miluzi huku wakionyesha alama ya vidole viwili.

  Source:Mimi mwenyewe nilikuwepo.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu, tunakubali wewe Chadema damu, hivi gari la CCM likizomewa ni News Alert?
   
 3. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo tunajadili na hili pia
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa taarifa!! picha mkuu itakuwa imefunga kazi
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu na yeye akiambia kuwa anakubali wewe ni CCM damu, hivi kama kuna habari yoyote inayohusu CCM negativity ni lazima uchangie?
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ukiushika mkia wa mbwa usiulize kinyeo chake! kutoka kwenye kushangiliwa mpaka kuzomewa. Najua unafuta machozi kwani mgonjwa (ccm) anaumwa kwelikweli hata akichanjwa haimtoki homa kali, kifo kinamkabili.
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huko Mwaloni - Kirumba walishasema kuwa CDM wakiweka jiwe na CCM wakaweka mgombea wao; wao wakotayari kuchagua hilo jiwe kuliko kuchagua chama cha mapolisi.
   
 8. CULCULUS

  CULCULUS Senior Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningekuwepo karibu ningelipopoa na jiwe!
   
 9. CULCULUS

  CULCULUS Senior Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana. Tunajua umeumia sana kwa hii habari! Subirini na Arumeru mtapopolewa mpaka mkimbie!

   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu naijua Mwaloni na watu wake CCM hapo hawapati kitu.
   
 11. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Ningeshangaa sana endapo tu ningesikia kwamba Mwanza yote ni ama kuna mashabiki/wapenzi wa CCM au CHADEMA pekee!! Lakini, as far as Mwanza kuna mashabiki/wapenzi wa CCM na CHADEMA basi kwangu wala sio issue kusikia moja ya vyama hivyo wamezomewa!
   
 12. Ngadu

  Ngadu Senior Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanakaa madarakani kwa nguvu ya ufisadi kuanzia mchakato wa uchaguzi.
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  What is news alert hasa kwa Tanzania iliyoichoka c.c.m?
   
 14. vaspanya

  vaspanya Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Zomea zomea peke yake haitoshi. Kwani hakukuwa na mawe karibu?
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  ishara ya mabadiliko
   
 16. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba yanakazi ya ziada. watanzania tumeshachoka na upu***zi wao.
   
 17. M

  Makupa JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ili iweje
   
 18. t

  tweve JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  magamba yana kazi mwaka huu,dawa yao ni kuyakwangua hata chupa mpaka yaishe
   
 19. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa jinsi watu walivyoishiwa hoja huko mbele utakuja kusikia mtoto wa kigogo wa ccm ameachwa na mchumba wake
   
 20. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kata ya Kirumba,CCM Tunawasubiri na hila zao,watatuambia nini,walishafanya hitma ya kuzika chama hapa,tukala nyumbu na mchele hapa.Hata nikiwa kwenye jeneza siipi CCM kura.Naapa tayari Chadema wana kura 1 yangu kabla ya kampeni
   
Loading...