Je hii ni kwa ajili uchaguzi Arumeru mashariki?

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Leo nimeona magari kibao ya FFU mengi yakiwa na askari kibao yakitokea njia ya Mbauda hapa Arusha nilipouliza kuna rafiki yangu kaniambia wanafanya zoezi kwa ajili ya Arumeru mashariki kwa walio maeneo ya Mbauda watujuze maana utafikiri hapa Arusha kuna vurugu kubwa mahali.
 
hata mimi nimepishana na gari kama 11 yakitokea mbauda yakiwa na yamejaa FFU,walioko mbauda tunaomba mtujuze
 
Back
Top Bottom