Kigogo wa CCM amwaga noti balaa.

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Ni Lameck Airo mbunge wa Rorya kupitia CCM ametoa milioni 60 kuhakikisha CCM inashinda kiti cha udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.Zinatumika kwa rushwa na kununua shahada za kupigia kura.Lameck ni mfanyabiashara maarufu na anamiliki pia hoteli ya kifahari hapa Kirumba ijulikanayo kama La Kairo Hotel.

Yote hayo ni kwa ajili ya kuidhibiti CHADEMA.

Nawasilisha.
 
Na CDM walivyo na njaa kali kuanzia wapenzi+wanachama+ viongozi lazima watapokea tu. Njaa cdm inawaua
 
Hivi mtu kama huyu, kwenye kamati ya maadili alielezea vyanzo vyake vya mapato? Na vikilinganishwa vinaendana na kodi anayolipa, na pesa anazomwaga? Naomba kuiamsha kamati ya maadili ya viongozi.
 
aliyeacha ilo jimbo ni marehemu kaka yangu wa damu, (novath Manoko) RIP.. ata wafanye nini, ile ni ngome ya chadema, kama ulikuepo kwenye msiba nazani uliona watu wanasema nini kuhusu kifo cha marehemu na vipi watamuenzi, time will tell, let's wait....
 
Na CDM walivyo na njaa kali kuanzia wapenzi+wanachama+ viongozi lazima watapokea tu. Njaa cdm inawaua

we nahisi si Dume la mbegu ila jike la mbegu ......cdm tuna akili za kujua nn tukifanye kwa wakati muafaka so gaweni pesa ila kura kwa cdm .....ppppeeeeeoooopppplllllleeesss..........najua hata wewe utaikia powerrrrrrrrrr
 
Nyerere aliruhusu kuchua lakini kura si ni siri ya mtu hapo ndiyo sasa swala la AKILI YA MBAYUWAYU unaichanganya na YAKWAKO kama unampigia vile shiiiiiiiiiiiiaaa unampa mpinzani wake.
 
Ni Lameck Airo mbunge wa Rorya kupitia CCM ametoa milioni 60 kuhakikisha CCM inashinda kiti cha udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.Zinatumika kwa rushwa na kununua shahada za kupigia kura.Lameck ni mfanyabiashara maarufu na anamiliki pia hoteli ya kifahari hapa Kirumba ijulikanayo kama La Kairo Hotel.

Yote hayo ni kwa ajili ya kuidhibiti CHADEMA.

Nawasilisha.
Mnajua kama huyu jamaa ni mende lakini?
 
Huyu jamaa nasikia hata kusoma hajui..nadhani watanzania watambue kuwa mtu anayetoa pesa ili achaguliwe ni tusi kwao..ni kama anawaambia umaskini wenu tunautengeneza ili tuendelee kuwepo madarakani..ni wakati wa kukataa haya kwa kuwaambia kuwa sisi sio watumwa wao...ni maskini jeuri.
 
Kwa nini musiende kuchoma hiyo hoteli ya Lakairo kama muna ushahidi mutabaki muna lalamika watu wanabaka haki mbona yeye kwao kasema hatagombea tena mmh jamani
 
Back
Top Bottom