Chadema wanatumia utaratibu gani kumpata mgombea urais?

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Wakuu kuuliza si ujinga,hivi chadema huwa inawapataje wagombea urais kwa tiketi ya chama hicho?Hapa namaanisha mgombea urais na mwenza wake maana kwa mujibu wa katiba yetu rais hagombei peke yake bali ni lazima awe na mgombea mwenza.

Chadema huwa wanatumia njia gani kuwapata hawa watu wawili.tupeane elimu tuvijue vyama vyetu hivi vyote.
 
Tafuta katiba ya CHADEMA, kumbuka hawa jamaa wako makini hakuna Rushwa Kama Maga mba
 
Tafuta katiba ya CHADEMA, kumbuka hawa jamaa wako makini hakuna Rushwa Kama Maga mba

Hata mimi najua umakini wao lakini lakini nilitaka kujua kama huwa kuna kigezo cha elimu kwenye nafasi hizo nyeti.
 
Wanawa-consult maaskofu

mzee acha hiyo utaiponza thread yangu ifungwe sasa hivi mods wamekuwa wakali sana kwenye threads zangu siku za hivi karibuni,leo sitaki kugombana nao kabisa ndio mana nimejitahidi sana kuweka vitu ambavyo wanapenda kusikia.
 
Kama huu nao ni ugreat thinker bas tuna magenius wa kufikiri kinyume, haiingii akilini unauliza swali wakati rejea unayo(Katiba ya Chadema) Kaisome kwanza ukitatizo na ilivyooandikiwa na kinachofanyika then lete hako kaswali kako,vinginevyo tutatuja umeanza kibarua chako asubuhi na mapema bila kuweka shughuli maalumu za siku
 
Unahoji mambo ya Chaddema? Lazima watakutukana usitegemee kama watakupa majibu.
 
Kama huu nao ni ugreat thinker bas tuna magenius wa kufikiri kinyume, haiingii akilini unauliza swali wakati rejea unayo(Katiba ya Chadema) Kaisome kwanza ukitatizo na ilivyooandikiwa na kinachofanyika then lete hako kaswali kako,vinginevyo tutatuja umeanza kibarua chako asubuhi na mapema bila kuweka shughuli maalumu za siku

Hivi kwanini kila tukitaka kujua jambo kutoka chadema mnajaribu kufanya jitihada za makusudi kushut down mijadala,ila ingekuwa ni issue ya kujadili watu(Nape na lowassa kwa mfano)ndio mnapenda na kujiona great thinker kwa kujadili watu,tuache kujadili watu tujadili issues kama hili la katiba unadhani kila mtu ana muda wa kusoma katiba za vyama vyote mpaka tppp maendeleo n.k. tusadiani kwa mnaojua ya cdm si mtuambie
 
Halafu pia naomba kuongezea swali kwa ruhusa yako ndugu mtoa mada!Pia ningependa kujua yule mgombea mwenza wa CDM mwaka 2010 anawadhifa gani ndani ya chama na pia mbona mara baada ya uchaguzi ghafla amekuwa hasikiki tena?
 
Akili yako kama ya masaburi yako,bado hujajua chadema wanachaguana vipi au Nape jana kawagawia cash yakutosha ndiyo maana umeamkia na chadema...kupata mgombea makini kama dr wa ukweli Slaa basi jua wako makini na wanaipenda nchi....KINEGA wewe!!!!!!
 
umefanya haraka ndio nilikua nakwenda huko sio mbaya lakini,ila wakishajua tunaenda huko mjadala utafungwa..yule jamaa huwa hawapendagi habari zake zijulikane kabisa,na walimpotez ghafla kipindi kilekile cha kampeni,huwa najiuliza kama kweli slaa angeshinda sijui ingekuwaje aise!

vinega bwana wanapenda kuonekana wako makini bila umakini.huwezi kufanya kosa kama lile kama mtu kweli uko makini.
 
Hapo umenikuna sana. Hawa watu wanataka kusikia wanayoyapenda kila siku je wataweza kuwasikiliza watanzania wakipewa uongozi? Napata shaka sana na chadema. Mimi kwa upeo wangu chadema mgombea anachaguliwa na mzee mtei Mbowe anapewa matokeo kisha ankuja kuwavimbishia mimacho wenzie wanaogopa kutimuliwa kwenye chama wananyenyekea. Dr slaa ni kama kondoo wa kafara tuu hana alijualo chadema
 
Akili yako kama ya masaburi yako,bado hujajua chadema wanachaguana vipi au Nape jana kawagawia cash yakutosha ndiyo maana umeamkia na chadema...kupata mgombea makini kama dr wa ukweli Slaa basi jua wako makini na wanaipenda nchi....KINEGA wewe!!!!!!

Slaa sawa haina ubishi kwa upande wangu japo wapo watu sio wengi lakini wapo wanaoihoji phd yake mimi si mmoja wao.Lakini vipi kuhusu mgombea mwenza yaliwapata yepi mpaka mkawaruka wote huko chama chenu hicho cha vinega na kumuokota yeye?unataka kusema hakukua na kinega anaefaa zaidi kweli?
 
chadema na vyama vingine vya upinzani kunatatizo kidogo kwenye kuwapata wagombea wao sio wa urais bali hata wenyeviti wa vyama hivyo,hili washughulike nalo ili kuimarisha demokrasia na uhuru wa watu kujitokeza bila hofu kuwachallenge viongozi wanaomaliza muda wao.
 
Halafu pia naomba kuongezea swali kwa ruhusa yako ndugu mtoa mada!Pia ningependa kujua yule mgombea mwenza wa CDM mwaka 2010 anawadhifa gani ndani ya chama na pia mbona mara baada ya uchaguzi ghafla amekuwa hasikiki tena?

kwa sasa ni sekretari wa dr.slaa pale makao makuu.
 
hivi kwanini hawapendi mambo yao yafahamike,wanaficha nini?

Sijui nikuite kijana au mzee kwani unaleta swali la kizushi! Kwa upande wa CHADEMA mtu aombi kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya urais bali huombwa kutokana na sifa na vigezo vinavyowekwa na wataalam elekezi ambao hufanya uchambuzi yakinifu kwa sifa za wanachama hai wa CHADEMA. Kigezo hiki cha kuombwa huepusha mtu kutoa rushwa ili kununua nafasi hii.
 
"Kim kardashian girls" i wish ungejua maana ya hao girls huku pande za Obama ni wa aina gani na wakoje halafu na ww umeji 'aka' si shangai ni ulimbukeni tu wa watz !
 
hivi kwanini hawapendi mambo yao yafahamike,wanaficha nini?

mambo yamefichwaje? cunajua kama kuna katiba ya chama au umeangalia kwenye katiba pia hayapo?. cdm huu co muda wa kujadili swala la uraisi huu ni muda wa kazi, watafute magamba huu ndo wakati wao wa kujiandaa
 
Back
Top Bottom