SAMWELI SITTA kuzindua kampeni za CCM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SAMWELI SITTA kuzindua kampeni za CCM.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Mar 8, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni Kirumba jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kufuatia kifo cha diwani NOVATUS MANOKO(CHADEMA)aliyefariki mwaka jana.Siku ni keshokutwa saa nane mchana kwenye viwanja vya Magomeni.


  Source:Gari la matangazo la CCM
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mnafiki huyo hana lolote
   
 3. P

  Pelege Senior Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnafiki mkubwa huyu Urambo imemshinda,wananchi wake ni maskini wa kutupa.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mi nikajua ni huku Arumeru kumbe mwanza hahahahahah
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sitta anajipaka tope sasa!to hell
   
 6. CULCULUS

  CULCULUS Senior Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SITTA has expired! Is not politically alive. Kama kwa sasa hivi wameshaanza kumrank kwenye ngazi ya Kati obvious by 2014 atazindua chaguzi za serikali za mitaa!
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Vipi bado gari linazomewa?
   
 8. k

  kitero JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na jipya huyo.kama vipi akitoka huko aenda na ARUMERU
   
 9. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kama ndivyo ni nani ndani ya ccm mwenye nafuu
   
 10. d

  dav22 JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwahiyo anamtisha nani???
   
 11. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani atauambia umma kwanini Richmond ilizimwa kinyemela(bila kufuata utaratibu) pia atauambia umma kwanini mpaka sasa mapendekezo ya kamati teule ya bunge kuhusu RM hayajafanyiwa kazi.
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  aendelee kujikomba yatamkuta huyu mzee , yupo kama fyatu siku hizi
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hivi huyu nae yupo kwenye orodha ya kuadibishwa na white hair..muache aendelee na unafiki wake halafu akipigwa pollinium sijui aje aombe huruma za watanzania...na kwa kweli kwasasa watanzania atuwezi muonea huruma mtu aliyejitakia mwenyewe kama Mwakyembe....
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kule hawezi kwenda sio kambi yake..
   
 15. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi jamaa yupo kambi ipi vile?!!Binafsi simwelewi aisee.
   
 16. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wote ni mavi kunuka tu.
   
 17. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  afanye anachotakiwa kufanya akianza siasa zake za maji taka hapo magomeni watu hawakopeshi amuulize Nape for reference.
   
 18. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Masikini...anaenda kuzindua kampeni za udiwani sehemu ambako kuupata CCM ni ngumu thus wahalalishe kuwa yeye kwasasa ni nguvu ya soda!..ni kama walivyompeleka Anne Kilango kupiga kampeni za udiwani kule Shinyanga mjini, aliishia kusema "huku kweli pagumu, Masele ubunge kweli hukushinda"!
   
Loading...