NANI ANAFAA KATI YA ADAM MALIMA na MWIGULU NCHEMBA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NANI ANAFAA KATI YA ADAM MALIMA na MWIGULU NCHEMBA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mhalisi, Mar 13, 2012.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wadau wa jf nimepitia kwenye tovuti ya bunge cv za waheshimiwa Adam Malima na Mwigulu Nchemba nimeona hawa wote wawili ni wachumi na wameshawahi kufanya kazi katika taasisi kubwa ya fedha nchini yaani benki kuu, naomba kuuliza iwapo kutafanyika mabadiliko ya baraza la mawaziri na vijana wakapewa nafasi zaidi ya kuingia kwenye baraza la mawaziri. Je, ungependa yupi kati ya hawa wawili awe waziri wa fedha na uchumi kutokana na utendaji wake?   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wote wachumi wazinzi! Hawafai wote
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mkuu serikali ya sasa ya ccm hakuna anayefaa,nadhani hata wao wenyewe wametambua kwamba hawafai ndo mana kila siku lazima kizuke kitu kipya,hawa watu hakuna aliye msafi,kama hana uchafu ujue basi skendo yake haijajulikana tu.
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ingawa wote ni wachumi lakini tofauti zao kuu ni kwamba 'Mwigulu anapenda wake za Watu, Adam Malima anapendelea Machangudoa'!
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,190
  Trophy Points: 280
  Kufanya kazi benki kuu ya Tanzania si credential kwa sababu panajulikana ni sehemu ya ku park watoto wenye majina wasio shughuli.

  Adam Malima si mchumi. Inawezekana alipitapita shule kusomea uchumi, lakini si mchumi. Mchumi hawezi kutembea ma mi cash wakati benki zipo.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tumbiri umepiga Ikulu
   
 7. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hapo kichwa lazima kiume kwa vile wote wana sifa zinazofanana wachumi na wazinzi.
   
 8. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Afadhali ya kutembea na changu kuliko wake za watu hiyo ni hatari sana.
   
 9. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapa ni JF, were we talk openly!
   
 10. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Jamani tujaribu kuwa serious kidogo, tuzungumzie mambo ya uchumi; haya mambo ya kufukuzana na ma-skirts hayatuhusu, kila binadamu ana mapungufu yake. Mimi binafsi huwa nafikili Ndugu Malima ni kijana mahiri sana katika kuchambanua mambo na kujibu hoja, huwa hakurupuki hata siku moja na kizuri zaidi kama hajuhi vitu fulani huwa anakili mara moja na kusema atafanya utafiti na kuja na jibu sahihi. Hulka aliyonayo Adam ya kuchambanua mambo na kutoa majibu makini inafanana sana na hulka ya Barozi Kagasheki Hamisi (MB).

  Kama ningekuwa na ubavu wa kumpa ushauri JK kuhusu mabadiriko ya baraza lake la mawaziri, basi Adam angemsaidia sana katika mambo ya uchumi, mama Maua Daftari naye ni binadamu mahiri sana katika mambo ya sayansi na tekinolojia bila kumsahau waziri Jumanne Maghembe kwenye KILIMO.

  Ushauri wangu wa mwisho kwa Adam, ajaribu kupunguza pete abaki na pete ya ndoa tu wakati akiwa kwenye shughuli za kikazi au mikutanoni/Bungeni; asinielewe vibaya mimi namtakia mema katika uchapaji wake wa KAZI ambao unatia matumaini kusema kweli.
   
 11. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wachumi wa mambo ya chupini..
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Afadhali ya Malima kakamatishwa changudoa kule Kaumba kuliko Mwigulu kumchemba mke wa mtu tena Kada wa CCM kule Igunga. Lakini kwa kipimo cha usaliti wa ndo ni ule ule.
   
Loading...