Uchaguzi wa CCM Arumeru Mashariki: Siyoi ashinda na kupitishwa kukiwakilisha chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa CCM Arumeru Mashariki: Siyoi ashinda na kupitishwa kukiwakilisha chama

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mungi, Mar 1, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wana Jf,

  Habari za kuthibitisha zinasema Sioi Sumari amemshinda mwenzake William Sarakikya katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo Arumeru Mashariki.
  Sumari ameshinda kwa kupata kura 761, huku Sarakikya akiambulia kura 361.

  Matokeo haya yamedhihirisha Edward Ngoyai Lowassa Ndosi ana nguvu kubwa kuliko CCM ya Jk.

  CHADEMA waliomba sana Sioi apitishwe kuwa mgombea, na maombi yao mungu ameyasikia.
  CHADEMA andaeni sherehe tukashangilie ushindi wa Sioi!

  Updated on 3/March/2012
  [FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
  [/FONT]
   
 2. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni kweli ameshinda
   
 3. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wajameni habari za hapa ndani sarakikya apigwa chini vibaya ntawaleta more news
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Tutammalizia sioi kule dar
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Edward Ngoyai Lowassa, huyu jamaa ni Noum Aisee! CDM subiri kimbunga kinakuja Arumeru.
   
 7. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kama ameshinda kweli CCM watasemaje? Si Chiligati alitishia kujiuzuru kwa siri kuvuja kwamba lengo la kurudia uchaguzi ni kwa vile jamaa si raia? Wameshachakachua fomu za uraia na wamemtengenezea tayari? Au ndo itabidi Chiligati aachie ngazi?
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Lowassa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 9. P

  Pelege Senior Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtajijua na magamba yenu huko huko,mafisadi wakubwa nyie CCM.
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nilisha sema awali mwenye pesa ndiye atakaye shinda maana anao uwezo wa kuhonga ubwabwa na kofia na tshirt bure.
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,524
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  sasa walikua wanarudia uchaguzi wa nini
   
 12. m

  mjinga JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Walisema Sioi sii raia wa Tanzania
   
 13. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,668
  Likes Received: 17,723
  Trophy Points: 280
  nadhani wamepima upepo upande wa pili Makamanda walivyotanda, baasi mpambano utakuwa mkali.......ila si walisema Sarakikya ndiyo mwenye ubavu kwa Nasari
   
 14. p

  pstar01884 Senior Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kudadadadadadadeki Lowasa kweli ni GAMBA LA KOBE. Hata kwa shoka JK humuwezi. Dawa ya huyo Sioi ni CHADEMA. Amuulize mziki wa UMMA aliocheze Batilda + Lowasa pale 'Chuga' na bado kesi yao ya kimagumashi waliyomfungulia LEMA itawapiga dole gumba.
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ndani ya CCM mwenye pesa ndo mwenye sauti anagawa ubwabwa na maji
   
 16. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ma.gamba yalikuwa yanawasha!
   
 17. m

  mjinga JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa Hutu Sioi atashindaje Wakati Sio aria aw Tanzania, na anatuhumiwa kutoa rushwa,,,,,,,,,,!!!!!! Mbona sielewi Jamari. nielewesheni Jamari
   
 18. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,929
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  Lowassa kamshinda Nape siyo!
   
 19. N

  Nali JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Sasaje, unapima kina cha maji kwa kutumia rula?
   
 20. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kimbunga hiko mbona hatukukiona Arusha mjini kwa Batilda Buriani?Lowassa ni noma kwa wenye iq ndogo na wenye kubali kuuza utu na fikra zao kwa vijisenti vya kupoza njaa ya muda mfupi,au wanaokubali kununuliwa kwa ubwabwa na kofia!lakini si noma kwa mtu mwenye fikra na akili zake timamu!
   
Loading...