Tume ya uchaguzi mmetuletea ******* mwingine Arumeru ee, :msimamizi wa uchaguzi mnataka vita?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya uchaguzi mmetuletea ******* mwingine Arumeru ee, :msimamizi wa uchaguzi mnataka vita??

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by BASIASI, Mar 13, 2012.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Anyway tbc wako hewani nahisi huyu mpuuzi wametuletea ili kuchafua hali ya hewa
  msimaizi huyu amesema ameitupilia mbali kesi ya kupinga uraia wa sioy anaegombea kwa niaba ya ccm
  alipoulizwa kipengele gani cha kuitupilia mbali hana cha kuongea nahisi huyu ni mpuuzimwingine
  ambae sasa chadema mmeonyeshwa rangi ya kijani mmjue mko na fedhuli waaina gani
  na wajinga kama hawa wanaweza kuambiwa na ccm tangza mtu fulani mshindi kama walivyoshinda enzi za babayake

  tuanze kujipanga
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Heading ndiyo imeharibu kila kitu, vi xxxx ni dalili ya kutukana, back to topic mimi sikuelewa kabisa huyo jamaa aliyetupulia mbali pingamizi la CDM alitumia vigezo.
   
 3. papason

  papason JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  Safari hii wakileta za kuleta patachimbika kisawa sawa!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Punguza jazba mkuu. Hebu tulia na utupatie yaliyotokea huko.
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  ukiwa na hasira usiandike email'mkuu tumekupata lakini wajue chadema imehamishia ofisi zake arumeru'sijui atatumia njia gani ngoja tutaona
   
Loading...