Wana JF mliopande za Arumeru east leo tafadhali tupieni hapa matukio na habari za kampeni zilizojiri leo hii huko Arumeru. Tujuzeni leo CCM na Sioi wao wanashambulia pande zipi na Chadema na Nasari wao wanashambulia pande zipi; na vipi kuhusu hali ya hewa ya Kambi za vyama hivyo hapa USA river pamoja na mashabiki wao.