Baada ya hotuba ya Kikwete, mkurugenzi Bugando aanza chokochoko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya hotuba ya Kikwete, mkurugenzi Bugando aanza chokochoko!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Mar 13, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Inasemekana madaktari waliokuwa kwenye mgomo wamepatiwa barua zinazowataka kukiri kuwa walikuwa kwenye mgomo na kuwa hawatojihusisha na mgomo kwa mara nyingine.

  hata hivyo mkurugenzi alipewa jibu moja fupi ya kwamba "hatuwezi kusaini"

  My take:
  Chokochoko za namna hii (kuandika barua) zilifanywa na mkurugenzi wa muhimbili na mwisho wake tunaujua.naona hatari ya mgomo kuendelea iko pale pale kama serikali haitafanyia kazi madai ya madaktari kwa uharaka ikiwemo kuondoa watendaji wabovu.

  huyu mkurugenzi (Dr Majinge) ni mmoja wa ile timu iliyoundwa mwaka 2010 kutafuta matatizo ya interns nchini, matokeo yake hatukuyaona zaidi ya mgomo mkubwa uliotokana na ukosefu wa posho za interns.
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwani hujui kuwa bia za mwanza zinazoitwa Balimi ni kali sana kuliko serengeti the Kick ama safari lager? au umesahau kuwa mwanza na mara kwenye yale mashamba yetu ya nanihii ni jirani sana? muulize huyo mkurugenzi kama hana shamba pale Tarime? nahisi ameshaanza kuvuna sasa hivi na ile bidhaa ina bei mbaya sana
   
 3. m

  mubi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wanatengenezea morphin kwa ajili ya matumizi ya anesthesia. Inapigwa vita na serikali nyingi lakini hapo hapo wanatengenza dawa za kutia usingizi wakati wa upasuaji .
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Anataka kumrithi Dk Mtasiwa!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuu! JAMANI MADR WASAMEHENI HAWA WATU, SERIKALI YETU KAMA MNAVYOIONA IPO DHAIFU MNO, TUFANYE KAZI JAPO KWA KUJITOLEA HIVYOHIVYO, TUNAOKUFA NI SISI TUSIO NA UWEZO WA KWENDA APOLO INDIA!
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Anataka kuleta umungu mtu! Natamani niichop shingo yake fasta.
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hivi hii serikali kwanini isimalizane na matatizo ya madaktari?mbona posho za wabunge waliimaliza haraka,jinsi hii serikali inavyochukulia kizembe haya mambo ndo inavyoendelea kujichimbia kaburi.
   
 8. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mgema akisifiwa na wazee wa CCM wa Dar, Tembo hulitia maji.
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,277
  Trophy Points: 280
  duh! Rare professionals can overturn the govt
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  eti hata huko mtwara kuna mambo ya kuandikiana barua! kha
   
Loading...