tujadili mbinu sahihi ya kampeni arumeru mashariki-CCM vs CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tujadili mbinu sahihi ya kampeni arumeru mashariki-CCM vs CDM

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by meningitis, Mar 13, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwa wale mliopo arumeru mmeweza kushuhudia uzinduzi wa kampeni za vyama hivi viwili chadema(siku ya jumamosi) na CCM(siku ya jumatatu).sitaki kujikita sana kwenye shamrashamra za uzinduzi wa kampeni bali nataka tuangalie behind the scene nini kiliendelea na nini kinaendelea ili kuhakikisha kila chama kinashawishi wapiga kura.

  nilichojifunza huko arumeru mashariki ni mambo mawili makuu yanayokinzana katika approach za kutafuta na kujenga hoja kwa wagombea.

  kwa upande wa CCM;nimeshuhudia makada mbalimbali wakipita huku na huko ili kutafuta mazuri yaliyofanywa na serikali au ccm


  kwa upande wa CHADEMA ;nimeshuhudia makada wao mbalimbali wakitembea huku na huko kutafuta mabaya ya serilkali au ccm.


  kwa ufupi sijaona chama kilichojikita kwenye kujenga sera zinazoonyesha mikakati ya baadae.tukubali tukatae hayo hapo juu ndio mambo mawili makuu utakayosikia kwenye kampeni za huko arumeru mashariki.naomba bila jazba tujadili yupi kati ya hawa anatumia mbinu sahihi na kwanini.


  nawasilisha........
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mkuu meningitis siasa za Tanzania zinavyoendeshwa ni za ajabu sana nyingi hazihitaji kuuza sera. Mawazo mengi sasa hata ya ma kampeni meneja yamejikita ni kwa jinsi gani na mbinu zipi zitumike kupata kura nyingi, suala la kujenga sera linapewa umuhimu wa mwisho. Tumeona jana kwenye mkutano wa ufunguzi wa CCM, muda mwingi umetumika/umetumiwa na Mkapa kujitetea kuwa hahusiki na tuhuma za kujichukulia mashamba badala ya kusema ni kwa namna gani watawasaidia watu wa Arumeru Mashariki.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Poor political approach,analysis and perspective. Mgeni wa siasa
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mkuu ni kweli mimi ni mgeni wa siasa lakini jibu hoja
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mkuu inawezekana kwamba wananchi wengi hawana elimu ya kuelewa sera za chama na hivyo kuviacha vyama na option hizi mbili,kusema mabaya au kusema mazuri
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mi nimesikia Nassary wa CDM anaongelea masuala ya ardhi, maji na kuwasaidia akina mama waondokane na kujifungulia njiani wakati wanatafuta vituo vya afya. CCM nimesikia wanaongelea kujenga nyumba ya wazee wa kimila na kuwataka Mbowe na Slaa kuongoza tume ya uchaguzi. Hapo chuja mwenyewe pumba na mchele
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi ulivyosikia kuna sehemu umeweza kupata ni kwa jinsi gani haya yatatekelezwa au yalitajwa kama matatizo/mazuri
   
 8. m

  mzizi dawa Senior Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ilo ata ww una weza kua una jibu lake,kimsingi anaweza simamia vizuri mapato ya Alimashauri husika na pesa za bajeti za bajeti ya serekali,kimcngi serekali yetu ina pesa za kutosha zawavuja jasho usimamizi ndio unakua mbovu na akuna gamba anae weza simamia pesa za wavuja jasho vizuri wote wezi.
   
Loading...