ninyi ccm msishangilie kuudhoofu kwa upinzani Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ninyi ccm msishangilie kuudhoofu kwa upinzani Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Mar 13, 2012.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kumekuwa na majigambo yakiambatana na matusi dhidi ya vyama vinavyoelekea kuimarika kisiasa hapa TZ. Matusi hayo hutoka kwa viongozi mbalimbali wa ccm pamoja na wale waandamizi kama Rais na Mawaziri wastaafu. Kwa uchache wamekuwa wakitumia dola kusambaratisha harakati za kujiimalisha kwa vyama husika. Jambo hili si jema hata kidogo na pia ni hatari si Kwa Wa-TZ wa kawaida pekee bali na wao pia maana:-
  Hivyo vyama vitakaposambaratika vitasababisha mtanzania wa kawaida akose sehemu ya kupunguzia hasira zake na kitakachofuata ni kuangia mtaani au kuanzisha uasi usio na formula/msimamizi. vurugu za mtindo huo ni mbaya sana maana hazina msemaji wala mdhibiti!! USHAURI WANGU KWA CCM:-
  1. acheni kuhusisha dola kudhibiti vyama vya upinzani.
  2. achaneni na nadharia ya kuona kuwa nchi hii bila ninyi haipo tena [tafsiri ya nadharia hii ni kwamba mtakapoona inakaribia kuwatoka mikononi na kwenda kwa wapinzani basi mtaamuakuivuruga na kukimbilia nje ya nchi]
  3.
  4.
  .
  .
  .
  TAFADHALI ONGEZA MAMBO UNAYOONA NI MUHIMU HAWA CCM WAACHE KUYASHADADIA ILI USTAWI WA TAIFA UWEPO.
   
Loading...