Hivi mzalendo.net wamesusia habari za Prof.Lipumba?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mzalendo.net wamesusia habari za Prof.Lipumba??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Mar 13, 2012.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,787
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  ..nimetembelea kule na sijaona picha wala habari za ujio wa Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba.

  ..mbona habari za Maalim Seif, na Ismail Jussa, zinapewa coverage ya kutosha?

  ..je, huu ni muendelezo wa chuki na ubaguzi dhidi ya wa-Tanganyika?

  ..inakuwaje mtandao wa washabiki wa CUF usitoe habari zozote zile za ujio wa mwenyekiti wao?
   
Loading...