CV ya mbunge wa Bukene

CV ya mbunge wa Bukene

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Jamani ninaomba mtu mwenye cv ya mbunge wa bukene nina shida nayo ndio mchakato uleule wa kupunguza magamba 2015
 
kwani ccm wanatumia cv ya darasani!! CV yao ni fedha tu,
 
Hivi huyu si yule kijeba alikuwaga mobitel, akadokoa dokoa na then ghafla bin vuu akabebwa na huyo bingwa wa kujiangusha ?
 
Back
Top Bottom