Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana...
11 Reactions
61 Replies
6K Views
WanaJF.Kwa hali inavyoonesha sasa ccm wamekata tamaa na kuamua kutumia mbinu ambazo zinaweza vuruga uchaguzi.hii imetokana na kauli ya katibu wa UVCCM bwana Shigela kutangaza kuingia msituni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili suala linaonekana kama ni propaganda za CDM lakini ni hali halisi.Mpaka sasa kuna matukio zaidi ya matatu na mbaya zaidi ni tukio la kutekwa kwa kiongozi mmoja wa CDM na kuteswa sanakuminywa...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Kampeni zikiwa zimepamba moto, CDM inaelekea kuendekeza siasa za maji taka za CCM:- CCM ikitumia mbinu na siasa CHAFU kupitia Mkapa, Mwigulu na Wasira wamesikika wakitoa maneno nje na sera zao...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
CHADEMA inapenda kukushirisha,wewe mwananchi,mpenda maendeleo,mwanaharakati,na yeyote mwenye mapenzi mema na Taifa la Tanzania.Mchango wako ni wa maana kubwa sana,katika ukombozi wa...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Ccm angalieni mnamsaidia cdm bila kujua kwa kusutwa kwenu. Tangu kampeni zimeanaza ccm wamekua wana ongea mambo ya siyokua namantiki wala sera za maana. Wanaongelea watu binafsi matokeo yake ni...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Makatibu wa Mikoa wapya wameteuliwa leo na uteuzi wao unaanza rasmi tarehe 21/03/2012. (source Chanel ten habari saa 1jioni)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hilo suala nasikiavyo limewasambaratisha akina Mchemba na kuwafanya waweke vikao hadi usiku kutafuta namna ya kumpiku kipenzi hiki cha Watanzania wanaodhulumiwa.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa baada ya upande wa mashtaka katika kesi ya kupatikana na fedha inayosadikiwa kupatikana kwa njia isiyo halali (uhujumu uchumi), linalomkabili wakili Median Mwale kujitahidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo la ajabu na lakusikitisha kama hii nchi sas imefika mahali viongozi wakaachwa kutoa kauli bila kuwajibishwa kutokana na kauli zao au matendo yao.Majuzi watu walipolalamika kwamba bei ya...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
wametuhadaa wakatumia nguvu zetu katika kuwapamba na kuwabeba.., wametufanya tupigwe risasi na kuuawa wakaita vifi vya kishujaa.., wametuibia na kufanya ufisadi wakidai ni akiba ya kizazi chao...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wanawahutubia mamia ya wakazi wa Makumira ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya Ubunge Arumeru Mashariki! Uwepo wa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Makumira ambao wengi wao ndio wanaishi jirani na huu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wabunge wa chadema Mr Sugu na Halima Mdee Jana wameweka kambi katika kitongoji alikotekwa mwenyekiti wa Tawi wa chadema na kufanya mkutano mkubwa pasipo mgombea wa chadema ndugu Joshua Nassari na...
9 Reactions
66 Replies
8K Views
Wadau, Tukio la gari la waandishi wa habari walio kwenye msafara wa CCM kudaiwa kupopolewa mawe na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema ni fedheha kwa fani ya habari nchini kutokana na mashaka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimesikia kupitia vyombo mbalimbali vikimnukuu Dk. Slaa jinsi alivyolielekeza kanisa lisikubali kupokea michango ya mafisadi na kudai kuwa fedha hizo ni najisi. Siamini kabisa kuwa Dk Slaa anaweza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutoka kwa Michuzi, wananchi wakimsikiliza Sioi wa CCM na Chini akiwahutubia.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Tume ya uchanguzi inadai kutumia daftari la zamani la kupigia kula. Je hakuwa watu waliofikisha umri wa miaka 18 tangia hapo? Ukweli ni kwamba haki za watu zimevunjwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekua nikiwaza sana,kua mikoa ikionekana mikubwa inagawanywa kupata mikoa mipya.Majimbo yakiwa makubwa yanagawanywa kupata majimbo mapya.Je wingi wa majimbo na wingi wa mikoa ndio maendeleo?Kama...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Jana nilihabarishwa na mjumbe mmoja wa shina katika Jiji hili kuwa katika mchakato unaoendelea wa wanaccm kujaza fomu kuomba uongozi wa mashina ni wanachama wachache sana wanaojitokeza, kiasi cha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati wetu huu ni kipindi ambacho watanzania tunahitaji mawazo ya kuujenga utaifa wetu ambao unatishiwa na wanasiasa wa CCM. Katika mazingira haya wasomaji wa Tanzania Daima tulitegemea makala...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Back
Top Bottom