Rais ateua Makatibu wa mikoa wapya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais ateua Makatibu wa mikoa wapya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rwiai, Mar 21, 2012.

 1. R

  Rwiai Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Makatibu wa Mikoa wapya wameteuliwa leo na uteuzi wao unaanza rasmi tarehe 21/03/2012.

  (source Chanel ten habari saa 1jioni)
   
 2. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Duh! ngoja nifuatilie huenda nikawemo....!
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  weka list tuwajue labda Masha yumo.
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  hbr nusu nusu za nini kwan kuna tuzo ya kuwah kupost
   
 5. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu uko kwenye baa ipi??? Na umekunywa pombe ainagani???? Kama umekunywa PINGU nakushauri uziache zinakuharibu akili, angaliasasa hii unayoleta hapa. Oh Back to the point.............

  1. Tanzania hatuna cheo ulichotutajia hapo.........
  2. Uwe makini unapokuwa unasikiliza news ili uelewe vema...........
  3. Uwe unaingia jamvini mara kwa mara kuona kuna mpya gani........
  4. By the way tukusaidie JK kateua makatibu TAWALA wa mikoa na hii kitu ipojamvini tangu mchana leo........

  Once again, Umekunywa pombe gani??? Nenda kalale now! Ulevi Noumer!!!!!!!

   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  awateue tu atatumia mananii yake kuwalipa
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu huyu jamaa amenimix
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  nisaidie link ya hyo thread
   
 9. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
Loading...