Dr.Slaa, Mdee na Sugu ndani ya Makumira sasa hivi

DaveSave

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
440
634
wanawahutubia mamia ya wakazi wa Makumira ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya Ubunge Arumeru Mashariki!

Uwepo wa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Makumira ambao wengi wao ndio wanaishi jirani na huu mkutano ni mdogo wakisema ya kwamba ratiba inabana!

The Strong Will Continue!
 
Mkuu vipi Nasari keshaonana na Mdee??nakumbuka alisema atatupa karata yake pale/
 
atatupaje karata errooo!
Hapa shughuli ni moja tu,kumshusha CCM
 
mkuu

ngoja tutembeze bakuli humu jf tukuwezeshe ili utujuze vyema na kutuwekea picha
 
Halafu nimepata tetesi kua baada ya shughuli hiyo mzee mzima SUGU weekend hii atashusha mistari yenye Vina kwa vijana wa Makumira bila kiingilo! "Weekend Yangu Itakua Njemaa!!!
 
slaa kaichana list of shame!

Nassari ndo anamchana wassira now!
 
nassari amewachana na amesema wakizidi ku_diss ya kuwa hajaoa atamuoa Mdee!
 
Mkuu vipi Nasari keshaonana na Mdee??nakumbuka alisema atatupa karata yake pale/

huu sio wakati wake tunakomboa jimbo kwanza wewe badala ya kuulizia sera na mwitikio wa wana meru unafuatilia udaku?? halafu unajiita top thinker!! huna aibu??
 
Kumbe mnaenda kusikiliza udaku badala ya sera. Ndiyo maana CCM inabaki madarakani kila uchaguzi.
Mapinduzi ya kweli ni kubadilika.
 
Back
Top Bottom