Inakuwaje hii? Pamoja na matusi mengi ya CCM dhidi ya Slaa, bado alipokelewa kishujaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje hii? Pamoja na matusi mengi ya CCM dhidi ya Slaa, bado alipokelewa kishujaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 19, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hilo suala nasikiavyo limewasambaratisha akina Mchemba na kuwafanya waweke vikao hadi usiku kutafuta namna ya kumpiku kipenzi hiki cha Watanzania wanaodhulumiwa.
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vikao, mikakati, propaganda na namna yoyote ile haitasaidia. Msingi wa kuwashawishi wananchi ni utatuzi wa kero zao, kitu ambacho CCM walishajitenga nacho siku nyingi! hivyo tegemeo pekee la wananchi ni viongozi wa CHADEMA.
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kwa nn wananchi wasimpokee kipenzi chao dr wa ukweli,huyo KIBURU ajinyonge.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  slaa anahitajika wiki ya mwisho wa kampeni.azungushwe vijijini,ushindi kwa chadema ni dhahiri sasa.
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,527
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  Tofautisha siasa za mtandaoni na za uraini... Usifikiri unachokiona wewe jf kila mtu anakiona hii ni tz mtandao bado sana kwa walio wengi.
   
 6. P

  Pelege Senior Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Slaa ni mkombozi wetu,we love him so much,together tutafika.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wananchi wamesha anza kustukia propaganda chafu za CCM. Jibu ni hilo tu.
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mchemba? Hajui zaidi ya kuwinda wake za viongozi wenzake.
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mlokole ndan ya daladala: nyimbo gan hzo mnaweka hebu 2wekeen nyimbo za yesu, konda: Vp ww! Yesu bado hajatoa albam.
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Nadhani jibu hasa ni kwamba wamekabwa vilivyo huko Arumeru.
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,873
  Trophy Points: 280
  msechu akipokelewa kishujaa!!

  [​IMG]

  Kikwete huwa anapokelewa!!

  hata angekuwa katoka jela anapokelewa

  mafisadi lowassa, chenge, wote walipokelewa kishujaa baada ya matatizo yao!!

  what argument are you trying to make here???

  Slaa atapendwa tu kwa wafuasi wake!!! thats it normal thats is natural!!

  hoja zingine bana
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Aliyependeza amependeza tu na atapendeka, ukitaka kupendwa kaa karibu nae ujue siri ya kupendwa.
   
 13. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hakuna mtu kama dr. jamani, utendaji wake umejidhihirisha tayari kwa wananchi hata isemwe nn bado haitamshusha
   
Loading...