Changia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanyaro Ephata, Mar 11, 2012.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  CHADEMA inapenda kukushirisha,wewe mwananchi,mpenda maendeleo,mwanaharakati,na yeyote mwenye mapenzi mema na Taifa la Tanzania.Mchango wako ni wa maana kubwa sana,katika ukombozi wa Taifa.Tafadhali changia CHADEMA
  changia Haki
  Changia mabadiliko.

  MPESA
  ... ... 0757 755 333
  0763 744 334
  0763 766 333
  0758 003 509

  AIRTEL PESA
  0684 424 229
  0684 424 144
  0684 425 222

  TIGO PESA
  0655 788 333
  0718 611 168
  0718 611 126

  Namba zote zimesajiliwa kwa jina la "CHADEMA ARUSHA.

  Mungu akubariki sana

   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana. Nashauri ili wachangiaji tuwe na imani na mwamko zaidi toeni update za michango hapa hapa
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mwenyekiti kanunulia nyumba Dubai pesa za ruzuku?
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndiyo...... Una Lingine?
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Angalizo!

  ONDOA USISIEM HAPA KOROBOI WAHED WEE!
  pesa gani ya kununua nyumba huko ulikowaza?
  Tumia kichwa kuwaza na kutoa majibu!
   
 6. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi vyama maskini bwana vinasumbua sana khaah kwani lazima viwepo maana vinaongezea tu mzigo wananchi maskini
   
 7. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa. Tunahitaji mwongozo ili kujua kuwa hela zitakazochangwa zimeingia mfuko gani na mtoaji apewe feedback ili tuweze kuhoji endapo kuna dalili ya ufisadi
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwakuwa uko kwenye kundi la kupata unawandanganya wananchi..lile kundi la kutumika

  Sidhani kama mtu una akili timamu unaweza kutoa pesa zako kumpa meneja wa bar...

  Then, utakuwa huna kazi na hizo pesa..anyway inaonekana mnatafuta njia ya kupitisha fedha haram..

  Hakuna mwananchi atachangia isipokuwa ni ujanja wa chadema kupitisha hela chafu..polisi na BoT wawe waangalifu..
   
 9. m

  mzizi dawa Senior Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe machoko wapo wengi!simkwe wa Loasa tuu?
   
 10. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ...Jamani maswali mengi ya nini? nyie wageni nnjii hii nini?ukiwa mfuasi wa vyama hapa ni shurti uwe unaufikiri kwa kutumia moyo badala ya ubongo, hatua zozote za kuwahoji wateule wetu ni utovu wa nidhamu...

  ...Wewe tuma pesa tu ili wateule wetu waendeleze harakati "zao" kiuraiiniii, hakuna haja ya kuwafanya wawe accountable, by the way uwa hawafanyi makosa, nchi tambarare hii...
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Naona magamba wameamua kuvuruga thread.

  Mkuu Nanyaro usiwajali sana hawa michango inakuja, kama tunalipa mabilioni ya kodi halafu magamba wanachezea, basi mtuache tuwape CDM nao "wachezee". Inawauma nini? Mnaogopa nguvu ya umma, sio?
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni kiongozi gani wa chadema aliyetoa ombi hili, ni lini na wapi, wewe uliyeanzisha thread ni nani kwenye cdm na nikwanini asianzishe thread ya maombi kiongozi wa chadema?endapo tutachanga Hela zitafanyia nini?
   
 13. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  nitarusha buku leo leo kwa kuanzia!
   
 14. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye Bold, if am not mistaken ni mwenyekiti wa CDM Arusha.
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nitachangia kidogo nilicho nacho
   
 16. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Heri kuwa maskini wa fedha kuliko kuwa maskini wa mawazo kama wewe. Mshamba, una elimu ndogo na uelewa mdogo na hujakombolewa kifikra, unayeamini kuwa kusoma darasa lenye vumbi huku ukiwa umekaa chini ni haki yako...

  Kwa taarifa yako wewe ****, Mit Romney anatembeza bakuli kubwa kuliko hili la CDM, Obama bakuli lake ndio zaidi na ndio utaratibu wa nchi zilizoendelewa kuwa good leader will come from people themselves na sio kutoka katika fedha chafu za wahindi kama mnavyofanya nyie magamba. Kuchangia chama ndio future ya Tanzania wewe mjinga unayejiita kiboko ya wapumbavu wenzio
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wewe ISMAIL JUSSA mbona unatoka povu sana wakati hela ni zetu sisi na CDM ni chama chetu. Kwa upumbavu wako unadhani kuna mtu huku JF ambaye hajitambui na kuogopeshwa na nyau kuwa fedha haramu. Mbona jamaa yako Adam Malima kaliwa M23 na changudoa ambazo zingenunua madawati kule kwenu mkuranga hatusemi ni fedha haramu??

  Vipi ulikwenda kumpokea profesa leo? Kesho anajiunga na swaiba ake Said Miraj...
   
 18. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,934
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Hayo ni mambo ya magamba, cdm hakunaga.
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Toa ndugu toa ndugu wewe ubaki na baiskeli yako mimi ninunue helikopta???

  Sawa usijali nimewapa tahadhari wananchi wenye kutumia ubongo kufikiri..

  Hiyo michango sawa tu michango ya makanisa yanayojiita ya manabiii..no auditing

  OK wajinga ndi waliwao..

  BESIDES, nimeitahadharisha serikali yangu kuwa huenda pesa chafu zikipita humo..wafuatilie..kuna noma mkuu hapo..
   
 20. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Magwand.a have failed to wisely spend their monthly subsidies to an extent of soliciting financial assistance from poor Tanzanians who barely earn enough to provide for their families.
   
Loading...