Uvccm kupambana na chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvccm kupambana na chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.Busta, Mar 21, 2012.

 1. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  WanaJF.Kwa hali inavyoonesha sasa ccm wamekata tamaa na kuamua kutumia mbinu ambazo zinaweza vuruga uchaguzi.hii imetokana na kauli ya katibu wa UVCCM bwana Shigela kutangaza kuingia msituni kupambana na chadema.Swali langu.Je hii kauli inatoa tafsiri gani kwa jamii? Naomba tujadili.Source.radio-clous-Jahazi
   
 2. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Wataingia watatoka wenyewe na bado tena waingie na cc+nec yao watoweke kabisa
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Wasijaribu,kuna nguvu ya umm
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Pa tunaelekea segerea kwenye uchaguzi mdogo na bado anaefuatia kufariki ndani ya magama mona watachoka mwaka huu?

  Kama msafi ndani ya magama ni mkapa,wasira,ol sendeka na mwigulu kazi wanayo.
   
Loading...