Tanesco,Ngeleja,mgao wa umeme na kupanda bei ya umeme kusikoendana na ufanisi katika kutoa hudumd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco,Ngeleja,mgao wa umeme na kupanda bei ya umeme kusikoendana na ufanisi katika kutoa hudumd

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wakupita, Mar 21, 2012.

 1. w

  wakupita Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  Ni jambo la ajabu na lakusikitisha kama hii nchi sas imefika mahali viongozi wakaachwa kutoa kauli bila kuwajibishwa kutokana na kauli zao au matendo yao.Majuzi watu walipolalamika kwamba bei ya umeme hailingani na uthabiti na ufanisha wa upatikanaji wa hio huduma kuna baadhi ya viongozi walijitokeza na kuwabeza lakini hvi karibuni kumekuwepo na hili suala la umeme kukatika kila baada ya muda fulani huku waziri wa nishati akijitikeza na kusema hakuna na hakutakuwa na mgao wa umeme Tanzania,cha ajabu mgao upo,unaendelea na wala hatuwasikii hawa jamaa wazee wa posho wanaoitwa wawakilishi wa wananchi,watu wenye dhima ya kuitask govt wakitolea maelezo hio kauli cmon Tanzanians where are we heading this country to?Is it too much for the ministry to be held accountable for what he proclaim??
   
Loading...