CCM inavyojimaliza Arumeru Mashariki kwa kuongea uongo unaowamaliza wenyewe bila kujua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM inavyojimaliza Arumeru Mashariki kwa kuongea uongo unaowamaliza wenyewe bila kujua

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kijenge, Mar 21, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Ccm angalieni mnamsaidia cdm bila kujua kwa kusutwa kwenu. Tangu kampeni zimeanaza ccm wamekua wana ongea mambo ya siyokua namantiki wala sera za maana.

  Wanaongelea watu binafsi matokeo yake ni kushu2liwa kila cku na watu wapembeni wala sio waliowatuhumu. Mkapa kaanza na vicenti nyerere co familiya ya nyerere,madaraka nyerere kamshushua kuwa ni familiya yao. kaja wasira na nasary ba2ake kamshindwa nimto2 mtundu sana.

  Matokeo yake baba ake nasary kapanda jukuwani kamshu2a.ujue mmbea ni mmbea tuu anapendaga kushushuliwa,akaja na dr slaa alifukuzwa upadri kwa kula hela ya ujio wa papa,sasa kanisa katoliki linataka ushaidi ona mtu mzima anavyoumbuka na kama sio kuisadia cdm nini.

  Wala wao hawana muda wakujibizana na makubwa jinga.na wanaona wanavyojimaliza haitoshi sa2 wanakuja na maji marefu. wameru na waganga wakienyeji tangu lini,labda mngewaletea mwakasege wangewaeelewa .NAPE ondoa walevi wako arumeru hawajui kilicho waleta meru.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yawezekana wameamua kumfanyia siyoi/lowasa makusudi
   
 3. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading"]Kanisa Katoliki lamshukia Wassira kuhusu Dk Slaa [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Tuesday, 20 March 2012 21:21 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] [​IMG]Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa

  LASEMA KAMA ANAO USHAHIDI WA WIZI WA FEDHA ZA PAPA AUTOE, WANASIASA WANAOCHAFUA WENZAO WAMEFILISIKA, NEC YAVIONYA CCM, CHADEMA
  Na Waandishi Wetu
  KANISA Katoliki nchini limemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano wa Jamii), Stephen Wassira kutoa ushahidi kuthibitisha kama Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alifukuzwa upadre baada ya kuiba fedha za ujio wa Papa John Paul II, alipokuja nchini mwaka 1991.Akizungumza kwa simu jana, Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (Tec), Yuda Thadeus Ruwaichi alimtaka Wassira athibitishe tuhuma zake akisema kanisa hilo halijawahi kumtuhumu Dk Slaa kwa tuhuma za wizi.

  Akizungumza katika kampeni za CCM Jimbo la Arumeru Machi 19, mwaka huu, Wassira alimtupia kombora Dk Slaa akidai si mwaminifu kwa kuwa alifukuzwa ukasisi wa kanisa hilo baada ya kufanya ufisadi kwenye fedha za mapokezi ya Papa huyo ambaye sasa ni marehemu.

  Hata hivyo, Wassira jana alipotakiwa kuzungumzia kauli hiyo ya Askofu Ruwaichi alijibu kwa kifupi: "Mimi nilishazungumza na yakaandikwa kwenye vyombo vya habari, hii leo siyo habari."
  Ruwaichi ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza alisema madai hayo ya Wassira hayana msingi.

  "Kanisa halijawahi kumshutumu Dk Slaa kuhusu madai hayo (ya Wassira). Kama Wassira ameyatoa kwenye mkutano wa hadhara, njia sahihi ya kupata ukweli ni yeye kutupa ushahidi wa vielelezo kuthibitisha madai yake," alisema Ruwaichi.

  Askofu Ruwaichi amewaonya wanasiasa wanaofanya kampeni za kuchafuana akiwataka waache na waanze kufanya siasa za kistaarabu.

  "Ukiona mwanasiasa anakurupuka na kuanza kumchafua mwenzake ujue amefilisika, vitendo hivyo vinaonyesha udhaifu kwa nchi katika nyanja za siasa," alisema.

  Askofu Ruwaichi alisema wanasiasa waliokomaa hawapaswi kufanya kampeni za kuchafuana... "Watajishughulisha katika kujadili hoja zinazozingatia mahitaji ya jamii. Kitendo cha wanasiasa wetu kufanya kampeni za kuchafuana kinaonyesha dhahiri kuwa bado tuko dhaifu katika siasa na hatuna vipaumbele."

  Askofu Ruwaichi aliwataka wanasiasa hao kuachana na kampeni chafu na badala yake wajikite katika kujadili hoja zinazotoa vipaumbele katika matatizo yanayoikabili jamii na namna ya kuyatatua ili kuwawezesha wananchi kuchagua viongozi bora.

  Kauli hiyo ya Askofu Ruwaichi, imekuja siku chache baada ya Dk Slaa kuzungumza katika mkutano wa hadhara kwenye kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru na kusema Wassira ni mwongo na hajui asemalo.

  "Kama tangu mwaka 1991 nipo, basi kitendo cha Serikali kushindwa kunifungulia mashtaka ya wizi wa hizo fedha basi ni Serikali dhaifu na ijiuzulu," alisema Dk Slaa.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Njama za kumuangusha LEIGUANAN ndo KIBAJAJ eti mpeni Ubunge alee familia yake maana ina Mzigo Mzito,hii ni Hujuma kama wasipo angalia inakula kwao
   
 5. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60

  Sio Lazima utumie hizo short cuts kama unatuma sms hapa, manake hata nyingune hazieleweki
   
 6. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza,

  sijaona wala kusikia magamba wakizungumzia matatizo

  ya arumeru jinsi watakavyoyatatua zaidi ya ***** mfano

  Livingston Lusinde bila aibu wala haya anasimama jukwaani

  na kutoa uvundo wake eti Sioi achaguliwe kwa kumfariji sababu amefiwa

  baba yake, kweli ccm ni kambi ya vilaza
   
 7. P

  Pelege Senior Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni chama cha majambazi mwisho wake umefika,hawana hoja hta moja.
   
 8. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  "CCM haina dira" namnukuu Kolimba katibu mkuu wa CCM
   
 9. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Mpeni sioi ubunge apate mshahara wa lulea familia na ndugu nanyi mtabarikiwa ---lusinde
   
 10. k

  kitimtim JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Unajua hawa ccm kutoka ngazi ya taifa wapo hapo kumuhujumu sioi, kweli mtu anayeongoza kwa kulala bungeni kama wassira ndio akuongelee kwenye kampeni? Au wanafikiri wameru huwa hawafatilagi bunge? Na ndio maana wassira kaletwa hapo kuja kuaribu kimtindo..maana haongei cha maana zaidi ya uongo uongo tu ka mlevi...
  Haya ukiangalia huyo lusinde ndo katia fora.... Eti mpeni kura sioi kwa kumwonea huruma ya msiba...hivi hata kwa hili bado mtanzania unasema ccm nambari?.....kweli watoke, watuache.... Waarumeru mashariki tumtume mtu mwenye dhamira ya dhati..na sio wa kupata mafao ili kuziba pengo la baba yake.
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Kama kwa kipindi chote hiki wao ndio watawala na bado shida zipo unatarajia waongelee nini !
   
 12. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Alianza kiranja wao wa vyama kwa kusema Kamanda Lema akikanyaga Arumeru mash atauawa.
   
 13. kijenge

  kijenge Senior Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  nilikuwa nimemsahau abunuwasi pinda yeye asipolia lazima ataongea kitu.nakumbuka pale mjengoni lema alivyosema muheshiwa waziri mkuu muongo alitaka kulia alikuwa anamtiza spika kwa huruma amsaidie.
   
 14. p

  politiki JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kinaconishangaza mimi ni kuwa ndani ya CCM hakuna mtu angalau mmoja anayechukia uongo angalau akasimama na kuwakemea watu hawa. wale wapenzi wa CCM mko wapi huu ndio wakati wa kusimama kama kweli mnakipenda chama.
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  CCM na uongo ni sawa na c.h.u.p.i. na masaburi, damu damu.
   
 16. Manywele.

  Manywele. Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli waswahili walisema sura sio roho, yaan huyu jamaa sura yake yakutishia watoto wasumbufu na mambo anayofanya ni tofati, coz haya mambo ili bidi tuyackie kwa mke wake au wanae wa kike, sasa kwa mantiki hiyo sijui mume nani mke nani katika familia.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa

  Presidential Personality! ? ! ??
   
Loading...