Hili suala linaonekana kama ni propaganda za CDM lakini ni hali halisi.Mpaka sasa kuna matukio zaidi ya matatu na mbaya zaidi ni tukio la kutekwa kwa kiongozi mmoja wa CDM na kuteswa sanakuminywa sehemu za siri na kumsababishia matatizo makubwa yalioyo pelekea kulazwa hospitali mpaka sasa...