Jana nilihabarishwa na mjumbe mmoja wa shina katika Jiji hili kuwa katika mchakato unaoendelea wa wanaccm kujaza fomu kuomba uongozi wa mashina ni wanachama wachache sana wanaojitokeza, kiasi cha mikutano ya kuhoji wagombea kufikia hatua ya kuahirishwa mara kadhaa. Hii ni ishara ya dhahiri kuwa cc haikupoteza muto kwa wananchi tu bali hata kwa wananchama wake.