Sugu na Halima Mdee wafunika Arumeru

kombah

Member
Nov 1, 2010
52
38
Wabunge wa chadema Mr Sugu na Halima Mdee Jana wameweka kambi katika kitongoji alikotekwa mwenyekiti wa Tawi wa chadema na kufanya mkutano mkubwa pasipo mgombea wa chadema ndugu Joshua Nassari na kukonga nyoyo za watu katika kitongoji hicho hatimae wajumbe wa nyumba kumi kumi wapatao sita kukabidhi kadi zao za chama cha mapinduzi kwa Sugu na Halima Mdee na kujiunga Chadema hii inaashiria kuwa chadema ina watesa ccm katika kampeni Arumeru.
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?
 
CDM 4 lyfe, Lyfe 4 CDM, bado na huku kwetu Tabora 2015 patachimbika mpaka CCM watakiona wenyewe.
 
Tangu
kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki,
kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu
kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi
gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa
sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao,
apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba
ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu
amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani
Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA? My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye
akapokelewa Arumeru?

Kupokewa kama mfalme siyo lazima uwe mfalme. Ndio maana kuna neno 'KAMA'. Sioni wapi kuna tatizo wote hao kupokewa 'kama' wafalme!!
 
Wana JF jana usiku nimekutana na Mbunge wa CDM mr SUGU akiwa katika harakati ya kuhamasisha vijana na Kuongea nae Amenihakikishia kuwa Wabunge wote wa CHADEMA wanaingia Arumeru na TYR HALIMA MDEE na Lissu christine wapi huku Zitto na Wengine wakiwa Njiani kuja kuongeza Nguvu baada ya vigogo wakubwa wa CCM kukosa hoja na kuanza Matusi,Wamekuja kumuongeza Nguvu Meneja Kampeni ambae aeonesha Uwezo Mkubwa wa kukabiliana na Heavy weight wa CCM kimkakati na jukwaa,pia wanakuja kama Mawakala na washambuliaji jukwaa na Leo atamwaga Swaga pale Tengeru,Sugu pia amefuatana na wasanii wengi wanao Support CHADEMA
 
Tatizo lamagamba they can't think
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?
 
Makamanda wa vita huwa hawalali hata siku moja, sasa kumekucha Magamba watatafuta pa kutokea
 
Wassira huna hoja
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?
 
Hapo ni kukomaa tu,Mungu yupo upande wetu. Uhuru wa kweli mabadiliko ya kweli ni kupitia CDM
 
Wafalme ni wengi.

Kuna mfalme wa Rap za kimageuzi
Kuna Mfalme wa nguvu ya hoja
Kuna mfalme wa wafalme
Kuna mfalme wa jadi
Kuna mfalme wa mioyo ya watu

Wafalme ni wengi isikupe homa hiyo.
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?

Akili yako haina tofauti na punje ya ulezi
 
Mimi ni sala kwenda mbele,ushindi ni lazima na Mungu atawaepusha na hila na njama chafu za hao magamba
 
Huu ni msako wa kuendelea mpk kieleweke kwn tumechoka na mafisadi wapenda matumbo yao na familia zao!

KUDADEKiiiiiiiiiiii!!
Msako huu ni lango hadi lango mpk 2015 na hakuna kuchoka
tukichoka tutakuwa tumewakomboa Watanzania!
 
Back
Top Bottom