Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mbunge wa korogwe vijijini prof Majimarefu siku ya leo trh 20March,alikuja mahali CDM walipoweka kambi panapo julikana kama Elephant logde maeneo ya leganga na...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Nilikuwa nazungumza na rafiki yangu mmoja juu ya suala hili na mara moja tukawa na matatizo kadhaa; kwanza, linakusanya taarifa nyingi sana za mtu kiasi cha kutishia privacy ya mtu. Hizi taarifa...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Kutokana na kauli zao kuingilia ktk kampeni na kauli zao tata,taarifa za awali zinasema 'drakatumba' hao wanaweza wakaondolewa kwa kile kinachohisiwa kuwa wana nia mbaya na mgombea Sioi sumari wa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Na Rehema Mohamed MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na Mbunge wa Jimbo la Segerea Dkt.Makongoro Mahanga na wakili wa serikali, Bw.David Kawaya, la kutaka mahakama hiyo ifute...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
Ukiwa arusha mjini unaweza fikiria kuwa ni meru....ila watu wameamua kuwasapot arumeru wapate chaguo sahihi...kuanzia hiace mpaka gari ndogo zimefugwa bendera za chadema....watu wamepiga skaf za...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Boder ya Namanga leo shuguli zime dorora haswa upande wa TRA na KRA ,KRA ni kama TRA wote ndio wana kusanya mapato Kenya na Tz , KRA wame ongeza viwango vya ushuru zaidi ya mara dufu kiasi kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali yetu imekuwa mstari wa mbele kuleta ma expatriates na kuwalipa mabillioni ya fedha kila mwaka ilhali nchi yetu ina watu mahiri nje ya nchi ambao wangeweza kuzifanya kazi nyingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nanukuu kauli aliyo itoa mbele ya msafara wa CDM ulio kuwa ukielekea Mererani.JOSHUA UTASHINDA,UBUNGE UTASHINDA NA NINAVYOSEMA I MEAN IT mwisho wa kunukuu... Wakiwa safarini CDM kuelekea Mererani...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Presidential reception, the guy with spectacles stood upright n couldn't wait to give Mr Presoo a hand shake Presidential escort wished to have seen a picture in the office i bet Bendera must...
1 Reactions
69 Replies
10K Views
Angalia taarifa ya habari zote tangu kampeni zianze Arumeru. Wakionesha habari za CCM kamera zinakuwa zimetulizwa na zinaonesha eneo kubwa ili ionekane idadi ya watu, na pia picha zinaoneshwa...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Kila siku iendayo kwa Mungu, maisha nchini Tanzania yanabadilika. Nasema yanabadilika kwa kuwa , wakati kwa wengine yanakuwa mepesi zaidi, kuna wengine ambao yanakuwa magumu zaidi. Ukweli...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
WANANCHI, PLEASE WAKE UP AND SMELL THE COFEE, HOW LONG SHALL WE CONTINUE SUPPORTING THESE CORRUPT OLD REGIME IN THE PARLIAMENT. IT IS NEALY 50 YEARS I MEAN HALF A CENTURY SINCE TANZANIA BECAME...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka amesema leo ataeleza mafanikio ya Serikali katika kutoa ajira kwa vijana ikiwa ni siku moja baada ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kusema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo Nimesoma kwenye Gazeti la Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba Mama Maria Nyerere ametaka Vicent akemewe na Vile vile lazima Vicent Amheshimu Benjamin Mkapa. Sina Tatizo na Kauli ya Mama Maria...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
chanzo star tv-habar,anasema watanzania muwapuuze wale wote wanaosema tunaibiwa madin na kuachiwa mashimo,anadai serikali iko makini(atakama kuna viwanja vya ndege katika migodi) Mi binafs...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunapenda kutoa taarifa kwa wanachama na wapenzi wote wa CCM nchini Tanzania kuwa chama chetu Tawala tayari kinauhakika wa kuchukua jimbo la Arumeru ki urahisi kabisa baada ya wanaarumeru kuwa na...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimepokea taarifa kwa mchungaji mmoja kunieleza kuwa jana mchana katibu wa uv ccm taifa na mbuge mmoja wa ccm pamoja na viongozi wangine waliwakusanya wachungaji kama 116 pale gate waya leganga na...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Naona sasa ameibukia Bima ya Afya. Bado tunalia na wewe. Mwalimu alikukabidhi nchi uitunze, ukaihujumu kwa kutuibia. Umeuza nchi, hatuna nchi, wala lolote. Mwalimu anakusubiri akuulize!!!!
0 Reactions
60 Replies
6K Views
katika kampeni leo wakiwa kijiji cha ngarenanyuki wasira amewahaidi vijana wakimchagua sioi april mosi basi ifikapo julai mosi kupitia mfuko wa tasaf vijana wataanzakunufaika.eti hayo ndiyo mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010 Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom