Mawazo yako katika mgawanyiko wa mikoa tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawazo yako katika mgawanyiko wa mikoa tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkombozi, Mar 21, 2012.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nimekua nikiwaza sana,kua mikoa ikionekana mikubwa inagawanywa kupata mikoa mipya.Majimbo yakiwa makubwa yanagawanywa kupata majimbo mapya.Je wingi wa majimbo na wingi wa mikoa ndio maendeleo?Kama ni ndio Mbona Tanzania nayo ni kubwa?Nisaidie tafadhali kujibu haya maswali
   
 2. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hebu google kitu inayoitwa gerrymandering utapata jibu kwnin majimbo yanagawanywa.
   
Loading...