Magamba Wakata Mbuga Arumeru leo (PICHA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magamba Wakata Mbuga Arumeru leo (PICHA)

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by buckreef, Mar 20, 2012.

 1. b

  buckreef JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kutoka kwa Michuzi, wananchi wakimsikiliza Sioi wa CCM na Chini akiwahutubia.

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  The only remained strategic ni kununua kadi za kupiga kura na kukimbia na masanduku ya kura.
  For sure, this time around itakula kwao!
   
 3. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu picha nimeziona lakini wengi wao siyo wapiga kura ni under 18, na wengine wamekusanywa na kusombwa na malori kutoka wilaya za jirani, kwahiyo, magamba lazima yavuliwe na CDM chama safi, cha wananchi wa Arumeru na Tanzania kwa ujumla watachukua jimbo hili. Nassari Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sasa naona hata Tshirt/Kofia wameishiwa maana zilitokea tu siku ya kwanza.

  Mzoea vya kunyonga, sasa sijui atachinjaje mwaka huu?

  Mpiga picha anatumia ZOOM fulani nzuri sana ambayo kitu cha karibu kinakuwa karibu zaidi na cha mbali kinakuwa mbaali zaidi.

  Ukitaka kuamini, Downloand picha na uizoo, utagundua jinsi ilivyo karibu....... Hii ilifanywa hata siku ya kwanza ya kampeni na kupelekea watu kubishana sana kama ni Picha ya siku hiyo na ya kweli.

  Naona Michuzi alaweka KALUFUNDI ku Rupabliki lwa watu.
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  We mhanya! Nduguyo huyo Michuzi, acha kumsimanga.
   
 6. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  umati wa watu unatisha ama kweli Siyoi
  kamaliza kazi
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Harufu ya udini na akili za Mwanaasha
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kumbe na wewe ni Mzunaye? Nitaanza kuwaandikisha kwenye daftari. Nitaanzia na wewe ili ukatoboe siri ya maendeleo kule nyumbani. Waliopo naona hawana mpya, tunahitaji watu wenye mawazo mapya wanaoweza kupambana na changamoto mpya zinazoweza kuleta chachu ya maendeleo kwa wananchi.

  Sikujua kama Michuzi na Sikonge wana undugu, labda ule undugu wa utani wa jadi. Hivi Michuzi ni mtu wa Pwani?
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hahaaa, Mzunaye bana, sasa mie na Mchuzi wapi na wapi? Michuzi ni mtu wa Mbeya aliyezamia Pwani.

  Pana wakati aliweka historia yake vizuri tu baada ya bibi mmoja kufariki huko na kuja kuandika kuwa alikuwa bibi yake. Ukimuangalia na sura unaona ka u-Mbeya Umbeya kwa karibu sana.
  Nahusudu sana gadget na ni ugonjwa wangu mkubwa sana. Nimekuwa nafuatilia hata Camera anayotumia na uwezo wake. Nilishangaa kwenye zile picha wakati ule kwani moja inaonyesha nyumba zipo karibu na nyingine inaonyesha ziko mbaali. Ndipo hapo nikaivuta na kuanza kuiZOOM na kugundua hiyo danganya ya Michuzi.

  I think anatumia ZOOM iitwayo JICHO LA SAMAKI au FISHE EYE (Wide Angle Lens) ambayo inafanya vitu vya karibu kuwa karibu zaidi na vya mbali vinakuwa mbali zaidi. Hebu angalia hii picha

  [​IMG]

  [​IMG]

  Keil Mduguye, huyu jamaa sikujua kuwa ni Mzunawizwe...... Kuna haja ya kuanza kujadili mipango ya Sikonge kwa mwaka 2015 maana huyu Nkumba kwa kweli ni kasheshe sana.
   
 10. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mkuu inaonekana unapenda udini sana
  na dhambi ya udini itakumaliza wewe na
  wenzio wa aina yako
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Spot tu umelewa, je ingekuwa kale ka-sigara kanakowashwa upande wowote si unge vua na nguo. Hata kwa mazingaombwe Nassari hawezi kushinda Arumeru.
   
 12. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hawa chekechea wana Shahada za Kura au wamekuja kujifurahisha kwa kumwona Mgombea S i o i
   
 13. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WAKATI NI HUU wa kubadilisha aina ya siasa kwa wananchi.siasa ya Tshirt, kofia,pombe,khanga imepitwa tunahitaji siasa yenye ushawishi wa hoja.
   
 14. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wengi ni watoto na walio wakubwa wamehongwa

  na wamesombwa na malori kama kawaida ya magamba

  wanaendelea kudanganyana, hivi Sioi alikuwa anasubiri baba yake

  afe ili arithi ubunge? maana hata arobaini haijaisha kaanza kampeni
   
 15. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mtasema, mtachonga sana, CCM ni nambari one kwa kujaza watu na kupata kura
   
 16. g

  greenstar JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ameshashinda....
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tabia zako za kike utaacha lini ? au ni wa jinsia hiyo

   
 18. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  ila upinzani umeleta mabadiliko ndani ya magamba, maana sasa wanayaogopa n=manguo ya kijani ka nini vile
   
 19. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hawa wamewatega kwa mtego wa burudani ya wakina joti na masanja ili waweze kuwahutubia.
   
 20. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 14,468
  Likes Received: 6,761
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...