NEC mkilazimisha ushindi wa CCM wanameru tutatumia faru...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC mkilazimisha ushindi wa CCM wanameru tutatumia faru......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHEMPO, Mar 22, 2012.

 1. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tunatahadharisha nec kuwa pindi watakapochakachua matokeo ya ubunge,tunawaahidi tutatumia faru.....faru ni kifaa chenye waya ndani yake kinafanana na fimbo.huku meru ni kifaa kinachotumika sana kwenye vurugu...watuachie uchaguz wetu tuchague tumpendae,,sio kutupa kiongoz asiye ijua meru
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mtaweza makondoo?
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nchemba sasahivi atakuwa anafikiria jinsi gani atakimbia na masanduku ya kura!
  Maujanja kwisha kabisa, kwa jinsi alivyo na stress sidhani kama ana yale mawazo yake ya kula wake za watu
   
 4. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kwani ccm hawagombei? Au hawana haki ya kushinda? Au hawana wapiga kura?. Acheni siasa za kitoto na za kipumbavu , kila chama kina haki ya kuchaguliwa na kutangazwa mshindi na Nec inafanya kazi kulingana na sheria na cyo vitisho, kama mmeona kuna dalili ya kushindwa hiyo ni shauri yenu.
   
 5. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  In God we trust
   
Loading...