Mtu wa namna hii si itakuwa aibu?

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nimehudhuria mikutano ya Siyoi kwa kweli confidence hana na anaongea akitetemeka.

Wakati mwingine hali hiyo hupelekea kuchapia maneno kutokana na kuogopa watu, kana kwamba hajawahi kusimama mbele yao hajui kujenga hoja na meru msipoangalia itabidi mumnunulie na godoro akalale bungeni.

JANA NILISHUHUDIA WATOTO WA VIGOGO AMBAO NI WABUNGE ETI WANAJIITA VIJANA wanawadanganya raia. Wanameru waelewe kuwa kuwa mbunge kijana ccm basi sharti na lazima uwe na nasaba na system iliyopo.

Ukiwachunguza wabunge vijana wa CCM lazima utakuta kuna ama mjomba ama bibi kamchomeka pale.
 
Kheeee!! Kulikoni tena...si tunaambiwa huyo jamaa ana LL.B kwa hiyo ni kaka msomi. Iweje aongee kwa kutetemeka?
 
Aongee kwa kutetemeka au aongee kwa kuvaibreti ushindi kwa CCM upo palepale. Mmesikia 'faultmongers?
 
Lol! Hivi baba sioi na EL walikuwa marafiki b4 ndoa za vijana wao? I'm trying to insinuate something here!
Hiyo LLB alishawahi kui-practice ama ndo ya private courts?
 
kama hana confidence ya kupaza sauti waarumeru wanataka ardhi yao, matendo yatakujaje?
The first quality of every Lawyer is audibility supported by confidence.That is what,we,Lawyers were and still taught.Siyoi,if he is of explained behaviour,has a big problem...
 
Tulipotaka vijana waongoze nchi hatukumaanisha watoto wa vigogo. Adam Malima, Januari Makamba, Vita Kawawa na dada yake, watoto wa Mongella nk. Kuna watanzania vijana wengi wana ubunifu, upeo, na uthubutu kuliko hata Januari Makamba. Wapeni nafasi !
 
Hajamaliza msiba wa babake, ngoja apigwe mweleka ndo machungu ya kuondokewa na mzazi yatakaporudi!!!!!
 
Nimehudhuria mikutano ya Siyoi kwa kweli confidence hana na anaongea akitetemeka.

Wakati mwingine hali hiyo hupelekea kuchapia maneno kutokana na kuogopa watu, kana kwamba hajawahi kusimama mbele yao hajui kujenga hoja na meru msipoangalia itabidi mumnunulie na godoro akalale bungeni.

JANA NILISHUHUDIA WATOTO WA VIGOGO AMBAO NI WABUNGE ETI WANAJIITA VIJANA wanawadanganya raia. Wanameru waelewe kuwa kuwa mbunge kijana ccm basi sharti na lazima uwe na nasaba na system iliyopo.

Ukiwachunguza wabunge vijana wa CCM lazima utakuta kuna ama mjomba ama bibi kamchomeka pale.

Ulitaka wana CCM wazae maboksi?
 
Kweli sioi hajiamini kabisa, na nimuoga sna sijui ndani ya nyumba kama anasauti.
 
Nimehudhuria mikutano ya Siyoi kwa kweli confidence hana na anaongea akitetemeka.

Wakati mwingine hali hiyo hupelekea kuchapia maneno kutokana na kuogopa watu, kana kwamba hajawahi kusimama mbele yao hajui kujenga hoja na meru msipoangalia itabidi mumnunulie na godoro akalale bungeni.

JANA NILISHUHUDIA WATOTO WA VIGOGO AMBAO NI WABUNGE ETI WANAJIITA VIJANA wanawadanganya raia. Wanameru waelewe kuwa kuwa mbunge kijana ccm basi sharti na lazima uwe na nasaba na system iliyopo.

Ukiwachunguza wabunge vijana wa CCM lazima utakuta kuna ama mjomba ama bibi kamchomeka pale.

Tujuze mkutano huo ulifanyika lini? wapi? na saa ngapi?

kuviacha viulizo vyote hivi wazi utaonekana unapika majungu
 
kweli sioi hajiamini kabisa, na nimuoga sna sijui ndani ya nyumba kama anasauti.

ahawezi kuwa na sauti, kwa sababu ba mkwe ndo alimwezesha marehemu(rip) kupanda ngazi, na ye anaishi na ka branch ka fisadi , si ajabu huwa anaosha viombo n.k lakini si kwa upendo ila kama ajira ya ndoa
 
Hivi ule MDAHALO ambao ungerushwa LIVE na STAR TV kati Joshua Nassari na Sioi Summari umefikia wapi? Wadau tunausubiri kwa hamu ili tujue MBIVU na MBICHI.
 
I bet CCM wame play a WRONG CARD, Kwa mawazo yangu wangemsimamisha NAKAYA SUMARI angeweza at least KUFURUKUTA mbele ya Joshua Nassari. Lakini huyu mvaa heleni yatamkuta yale yale yaliyomkuta mvaa heleni mwenzake wa TEMEKE Cisco Mtiro.

Jamii yetu bado haja-assimilate uvaaji wa heleni kwa wanaume. Mark my words, the writing is already on the wall. Sioi ataangukia PUA kama Cisco Mtiro wa Temeke.
 
Back
Top Bottom