Vitambulisho vya taifa, je kuna haja ya sensa tena?, je serikali wanajua wanachokifanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitambulisho vya taifa, je kuna haja ya sensa tena?, je serikali wanajua wanachokifanya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Mar 22, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama serkali wanafanye upembuzi yakinifu kabla ya maamuzi sahihi kuchukuliwa, kitaalamu sidhani kama kutakuwa na mantiki kama mwaka huu vitamburisho vya taifa vitatolewa na hapohapo sensa kaifanyika, je siyo kwamba vyote hivyo vinashugulikia kitu kimoja manaake ninavyo elewa vyote vinahusika na maandalizi ya Database na majibu yooote, yaani takwimu za umri, idadi ya watu katika eneo husika nk vitapatikana kwenye vitambulisho!

  Sijapitia bado kama labda vitambulisho vina umri maalum, labda hapo linaweza kuwa na maana kidogo kama watoto hawapati vitambulisho,lakini, pia nadhani vitambulisho vitakuwa na records za watoto, au sensa ni mradi wa wajanja? Kama ni mradi unaopata msaada wa wahisani hebu kama taifa tuwe na majibu ya matatizo yetu manaake naona kama itakuwa ni misuse ya fund!

  Nawasilisha.
   
Loading...