CCM ndio Baba na Ndiyo Mama!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ndio Baba na Ndiyo Mama!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Memo, Mar 21, 2012.

 1. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ndiyo, nasema kweli, kwa wwngi wetu, CCM ndio mzazi, tulizaliwa ndani ya CCM,
  CCM Imekuwepo zaidi ya miaka 37 sasa, Huu ni Umri wa mtu mzima.....

  CCM hii ndiyo iliyotufikisha hapa.....

  [​IMG]

  Lakini ndio CCM, baba na mama yetu, ndio wazazi hawa!!, tutawafanyaje??
  Hawa ni wazazi wetu........wameilea nchi hii na kuifikisha hapa unapopaona....

  [​IMG]

  Hawa ni wazazi taifa hili.......kwa utashi wao na busara zao, wakailea nchi hii kwa mapenzi sana....
  Na hawa ndio raia wake....watoto wa CCM

  [​IMG]

  Ni ngumu kuelewa huyu mzazi ni wa aina gani!!!...
  Lakini ndo mzazi.......Eti anaitwa mzazi!!!!

  CCM, hawa, wakubwa, wenye kashfa, matajiri na walafi.....
  CCM hii baba, na mama...

  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nawatakia Jioni Njema.............CCM baba na mama yangu...........my butt!!!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Habari yako mkuu...
  Nimeona Title nikafungua huku nikipangilia matusi ya kukupolomoshea du kuingia nakuta kinyume na nicho tegemea......
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  YES,...Here we go now.

  What next..........!!!
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wassira ana sura kama sio binadamu daaah,!
   
 6. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunatumia Simba kuwatimua chui
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa magamba inabidi kuwatoa madarakani kwa nguvu sasa
   
 8. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  I like the way you presented in sarcasm, nilidhani mkuu unafagilia kumbe unaua hahaha nimeipenda
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,519
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  mkuu hiyo picha ya kwanza ni hatari sana na huyo mtoto ameshika nini sijui...inatia uchungu maradufu.!!
   
 10. p

  politiki JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  i hope ajashika lile puto lingine la kiume yaani wahuni hawa hawana pesa za madawati lakini wana pesa za kununua mashangingi
   
 11. p

  politiki JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  sometimes naona kama makosa siyo yao masikini hawa kwa sababu utakuta wazee kama hawa hawajala ubwabwa mwkaa mzima leo hii anakuja mtu anawapa ubwabwa kw aajili ya kupata kura wanakubali hawajui kuwa anayempa ubwabwa ndiye aliyesababisha yeye kuwa na maisha hayo mabovu.
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Unafurahi eti eee. poa bwana
   
 13. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Acha waarabu wapigane
   
 14. m

  maramojatu Senior Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mimi baba yangu ni Rajab na mama ni Husna. Wananipenda. CCCm labda ni baba na mama yenu
   
 15. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Je hii ni sawa??
  [​IMG]Amefika mwisho wa kufikiri[​IMG]
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wewe ni mtanzania mbinafsi........

  huyu hapa ni ndugu yangu, ni mtanzania mwenzangu,
  CCM ndio inayompa huduma hii ya maji yeye na mtoto wake...
  CCM hoyeeee!!!

  [​IMG]
   
Loading...