Membe yupo salama? Anayejua alipo atujuze

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Ni taarifa ya habari ya BBC asubuhi hii,waziri wa mashauri ya nje wa kenya Mosses Wetangula kahojia akasema kuwa wanadiplomasia walokuwa ktk mkutano wa 'peace keeping' wameshambuliwa na wengine walokuwa wanaenda airpot hawapati hewani kama waziri wa mambo ya nje wa zimbabwe.NAJUA MEMBE NI KIHEREHERE NA HAKOSEKANI KTK KAMATI HIYO YA AU iliyotumwa ktk nchi ya Libya.
 
Kiburi tu, Membe mtu mbaya sana, majibu ya hasira majivuno kibao, hata kitakachompata sijuti.
 
Kiburi tu, Membe mtu mbaya sana, majibu ya hasira majivuno kibao, hata kitakachompata sijuti.

Baki na roho yako mbaya na chuki binafsi. Membe yuko salama salimini na an anaendelea kuchapa kazi ofisini kwake Dar es Salaam. Wewe subiri na utasubiri sana kama fisi anavyosubiri mkono wa binadamu akiona unadodondoka.
 
Tabu ya wabongo badala ya kujadili mada mnajalidili watu huna la kuandika ishia kusoma.
 
Nina shaka na usalama wa Slaa zaidi.
Kuwa na mpenzi mbabe na bastola ya mwanza basi ni hatari tupu
OTIS
 
Membe anajiandaa kwa tamasha la pasaka uwanja wa taifa.

Kila mwanasiasa anaetaka urais anajitahidi kuwekeza kwenye majukwaa ya dini.??!!
 
Rejao bwana..mimi simchukii membe..mwenye taarifa ama kumwona leo..ama kama ataibuka jamvina atujuze kama amesalimika.
 
Kiburi tu, Membe mtu mbaya sana, majibu ya hasira majivuno kibao, hata kitakachompata sijuti.

utasubiri sana wenzako wafe lakini utatangulia wewe.

Hata maadui zetu wana haki ya kuishi tuwaombee ikibidi ili Mungu awafanye kuwa watu wema. Kumwombea binadamu wenzako kufa kabla hajatubu ni dhambi kubwa sana.
 
Slaa anauguza maumivu ya mbavu iliyovunjika baada ya kupewa kidali poo na Josephine.

I cant imagine yule mzee na huyu mtoto wa mjini, mamaa full mikorogo...huwa wanakuwa kwenye hali gani kwenye mambo yetu yale!

Haka kababu katakufa 'kifo cha juu ya kifua' na huyo Josephine ajiandae kushitakiwa kwa 'manslaughter'. Nyie subirini tu.

Mzee mzima kashikwa kikweli kweli, hafurukuti kabisa! inabidi tufuatilie tufahamu huwa anapewa nini!!

Ruzuku yote ya Magwandraa inaishia pale. Halafu huyu inaelekea amewalisha limbwata hadi mashabiki wa chama. Yeye na Slaa wamekifilisi chama hadi kinaanza kukusanya michango kutoka kwa wananchi.

Heeh Hawa Watu,

Nendeni jukwaa la mahusiano,mapenzi na Urafiki.Hili jukwaa la Siasa haliwafai........!

Your response is unprecedented in the history of JF(jukwaa la Siasa).You surely need an urgent brain transplant to correct your brain malfunction.

Turudi kwenye hoja,ni jambo la ajabu sana kwa binadamu kumtakia mwanadamu mwenzake kifo.Huu ni uchuro,ni ushirikina uliopindukia tu hakuna la ziada...............!

MwanaJF Mbopo ameshasema Membe yupo ofisini kwake.Naamini Mbopo anafanya kazi pale wizara ya mambo ya nje,sitilii mashaka taarifa yake hii.
 
Kweli kijana Ben naungana na wewe............tukianza kuelezana undani wa wapenzi wa viongozi wetu itabakia kuwa aibu tu...........asiyejua kama Mama Salma alikuwa Beki tatu wa Mkuu ni nani?
 
Watu,Nendeni jukwaa la mahusiano,mapenzi na Urafiki.Hili jukwaa la Siasa haliwafai........!

Your response is unprecedented in the history of JF(jukwaa la Siasa).You surely need an urgent brain transplant to correct your brain malfunction.

Turudi kwenye hoja,ni jambo la ajabu sana kwa binadamu kumtakia mwanadamu mwenzake kifo.Huu ni uchuro,ni ushirikina uliopindukia tu hakuna la ziada...............!

MwanaJF Mbopo ameshasema Membe yupo ofisini kwake.Naamini Mbopo anafanya kazi pale wizara ya mambo ya nje,sitilii mashaka taarifa yake hii.

Brain transplant proper to remedy anti-Chadematics only? Remarks corresponding with ours have relentlessly been casted at the First Couple only to make you grin.
 
Ben............Hawa uliowataja(Rejao ni kati ya Wanawake niliokuwa nawaheshimu sana hapa kwenye Jukwaa la Siasa.........achilia mbali kuwakuta majukwaa mengine.........wanayemsema mwanamke mwenzao na wao kuwa anonymous na kumsema mwingine ni ujinga
 
Brain transplant proper to remedy anti-Chadematics only? Remarks corresponding with ours have relentlessly been casted at the First Couple only to make you grin.

Ha ha ha haaah Radhia,

Quit trying to sound intelligent,Your madness have gotten to an alarming dimension.Turudi kwenye mjadala sasa ingawa sitegemei response tofauti kutoka kwako sweety:scared:.

Your response is always anacronistic and obtuse ! ! !:redface::redface:
 
Kweli kijana Ben naungana na wewe............tukianza kuelezana undani wa wapenzi wa viongozi wetu itabakia kuwa aibu tu...........asiyejua kama Mama Salma alikuwa Beki tatu wa Mkuu ni nani?

nendeni nachingwea kaulizeni mtaa wa mti mkubwa pale kuna dada anaitwa thelesia livigha huyu dada alimfanya baba riz 1 awe anakesha hotel ya ujamaa wakati yeye si mtumiaji wa pombe alikua anakunywa soda tu sasa mkitaka kujua mambo ya malove huyo wa kwenu ni balaa
 
Wewe mtoa mada umejaa husuda, chuki na inda dhidi ya Mh. Membe. hata hivyo kama umeisikia habari hii basi ungefanya utafiti au kujua details ndipo ulete hapa na si kuileta kama hivi ambapo imekaaa kimajungu na kiudaku zaidi. Ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom